Sijui niite bahati au nini hii?

Sijui niite bahati au nini hii?

Iko hivii kuna mdada ni mke wa mtu ana miaka 28 ivii sasa huwa nachat nae na aliniahidi atanipa penzi mda tuu mm nikasema sawa basi nikawa na mambo yangu ila nikipata mda namsalimia ila aliniambia jamaaa anamzingua mtu wa. Wanawake sana mm nikamwambia vumiliaa tuu sasa leo hiii saa moja nimeona amenipigiaa ameniambiaa anakuja kulala kwangu mtoto wake kamuacha kwa dada yake jamaaa leo kamuuzi anadai ajee tulale niikule poa sasa nishaurini nimkalibishe au na mm nimzingueee ila hapa kwangu anapajuaaa na anasema anakamata boda ajeeee hata chakula nimuwekeee wadau nifanyajeee niko njia pandaaa
Mke wa mtu ni sumu
 
Sasa unaogopa nini,mtakufa na mawazo wenzenu wanauza Hadi vitaru vya madini kwa bei ya kutupa wewe unamuogopa mwanamke
 
Iwe picha hizo ni zake au umezitoa mtandaoni sio busara kuziweka kwenye uzi wako unaohusu nia yako ya kula mke wa mtu
 
Iko hivii kuna mdada ni mke wa mtu ana miaka 28 ivii sasa huwa nachat nae na aliniahidi atanipa penzi mda tuu mm nikasema sawa basi nikawa na mambo yangu ila nikipata mda namsalimia ila aliniambia jamaaa anamzingua mtu wa. Wanawake sana mm nikamwambia vumiliaa tuu sasa leo hiii saa moja nimeona amenipigiaa ameniambiaa anakuja kulala kwangu mtoto wake kamuacha kwa dada yake jamaaa leo kamuuzi anadai ajee tulale niikule poa sasa nishaurini nimkalibishe au na mm nimzingueee ila hapa kwangu anapajuaaa na anasema anakamata boda ajeeee hata chakula nimuwekeee wadau nifanyajeee niko njia pandaaa
Mhhh aisee mbn hatar
 
Back
Top Bottom