Sijui niite bahati au nini hii?

Sijui niite bahati au nini hii?

Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.

Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Kutoka 20:14
Usizini (Hii inamhusu mwanmake wa mtu)

Kutoka 20:17

1Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

NB. Hizi ni Amri, sio ombi.

Usije ukasema hatujakuambia, fuata sauti unayoisikia kichwani kwako imeshakwambia acha.

Jamaa anaweza kufuatilia kwa simu hadi akajua alipo mke wake. Utakufa sela.
 
Mke wa mtu ongea naye serious business. Umempotezea concentration ya ndoa yake. Anakusikiliza wewe zaidi ya Mme wake. Hadi anekufaya ya option.
Sasa umeharibi ndoa ya watu.
Na wewe utaharibiwa.

Aidha akija kwako ata chart na mwanaume mwingine. Na atondoka kwako Kama alivyoondoka KWA Mme wake .

Eti ni bahati ⁉️ sawa. Ni bahati mbaya.
 
Mkasa wa boss ilikuwa kipindi kile U DIDY haujashika kasi,sahivi ukikamatwa wadau unawapa sababu ya kukufanyia ufirauni

#man mke wa mtu sio asee jamaa afanye mitikasi mingine hata hivyo mbona wasimbe wengi tu mtaani
Aingie twitter, kule misimbe imejaa
 
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.

Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja. Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.
Usikubali kumpeleka Lodge, aje ghetto. hata kama Jamaa yake akija kufumania, upate uhalali wa kumwadhibu kama mvamizi nyumbani kwako. Kumbuka huyo Mwanamke sio Shemeji yako au Dada yako! Chakaza paipu kinyama mpaka adedemele.
 
Sawa sawa mkuuu
 
Kwanini umedhani hiyo ni bahati, hujapiga kitu mda mrefu nini?
 
Back
Top Bottom