Xkalinga
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 476
- 317
Kama hatuwezi kutofautisha kama alivyotofautisha mleta mada basi nchi ya viwanda ina safari ndefu sana kufikiwa..!!!!.Kwahiyo hizo ulizoweka hapo za zamani ni za siasa au uchumi sio!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hatuwezi kutofautisha kama alivyotofautisha mleta mada basi nchi ya viwanda ina safari ndefu sana kufikiwa..!!!!.Kwahiyo hizo ulizoweka hapo za zamani ni za siasa au uchumi sio!?
Nyakati hazifanani YES lakini hao wanaosikika sababu kubwa ni monopoly ya soko waliyofanikiwa kuipata. Mtu ndio ameteka SOCIAL NETWORK, ana MEDIA HOUSE na Ndiye PROMOTER MUANDAAJI wa MATAMASHA anashindwaje KUPUSH UJINGA wake kwenye VICHWA VYA WATU?
Ila ngoma kali zipo nyingi tu ila hazipewi nafasi.
Listen
Nyakati hazifanani YES lakini hao wanaosikika sababu kubwa ni monopoly ya soko waliyofanikiwa kuipata. Mtu ndio ameteka SOCIAL NETWORK, ana MEDIA HOUSE na Ndiye PROMOTER MUANDAAJI wa MATAMASHA anashindwaje KUPUSH UJINGA wake kwenye VICHWA VYA WATU?
Ila ngoma kali zipo nyingi tu ila hazipewi nafasi.
Listen
Mkuu kcamp ni kweli soko la muziki linategemea concept ya demand and supply, lkn kiuhalisia demand ambayo ndiyo hadhira inategemea sana suppliers ambao ndiyo wasanii hapa namaanisha huwezi ku demand kitu ambacho hakipo sokoni, so wasanii wana uwezo mkubwa wa kubadilisha akili ya hadhira hasa wasanii wakubwa mana hawa wadogo wanaangalia nn wakubwa wanafanya, kwa mfano kuna mziki umeibuka kwa ss mziki wa singeli japo ulikuwepo kwa mda kdg lkn ulikuwa unaonekana km mziki wa kihuni usio na maadili na ni wa uswahilini, lkn ghafla umeanza kupewa credibility baada ya wasanii wakubwa kuanza kuuimba, hii inaonesha nguvu ya ushawishi waliyonayo wasanii wakubwa na pengine niseme kitu kimoja, ni kwamba huu mziki wa matusi ya wazi wazi muasisi ni Diamond pamoja na kundi lake la WCB japo ni kweli matusi yalikuwepo huko nyuma lakini c kwa kiwango cha ss, huko nyuma ilikuwa nyimbo ikiwa na tusi hata kwny redio stesheni ulikuwa unafinywa kimtindo lkn kwa ss imeshaonekana ni kitu cha kawaida maana utafinya nyimbo ngp ilihali asilimia kubwa ya nyimbo za ss zinafanana, mm mwenyewe ni mpnz wa nyimbo za Mondi na kundi zima la WCB na huu ndio ukweli wenyewe kwmb kupitia wao wasanii wengine wakaona hii ndio direction na mpk ss tunapoelekea ni kubaya zaidi km hii perception ya wasanii wanaimba kulingana na uhitaji itaendelea kugonga ktk vichwa vya wasanii.Ngoma kali unazosema ww ni kali kweli,ila wanaoskiliza ndio hawatak kuskia tena hayo...kwa mfano mim mwenyew sitak kuskia mtu anaimba mapenz ya kwel kwa sasa...naona haimbi reality kwanza,,,watu saiz mkuu wanataka kuruka tu basi
Msanii ukishajua watu nn wanataka basi unatoboa...eti uimbe kuhusu malaria saiz unafkr utapenya?
Kaskize ngoma ya baddest ile nikagongee,jamaa alikua hajulikan ila alipita na content zinazotakiwa sokon,jamaa akatusua fiesta mpaka show ya rayvan mbeya.
Hapa demand na supply ipo kazin..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo za matusi zimeanza kuimba kitambo Sana dully Sykes aliimba wimbo unaitwa utamu ndani ya ule una matusi Sana sio kweli mwanzilishi ni diamondMkuu kcamp ni kweli soko la muziki linategemea concept ya demand and supply, lkn kiuhalisia demand ambayo ndiyo hadhira inategemea sana suppliers ambao ndiyo wasanii hapa namaanisha huwezi ku demand kitu ambacho hakipo sokoni, so wasanii wana uwezo mkubwa wa kubadilisha akili ya hadhira hasa wasanii wakubwa mana hawa wadogo wanaangalia nn wakubwa wanafanya, kwa mfano kuna mziki umeibuka kwa ss mziki wa singeli japo ulikuwepo kwa mda kdg lkn ulikuwa unaonekana km mziki wa kihuni usio na maadili na ni wa uswahilini, lkn ghafla umeanza kupewa credibility baada ya wasanii wakubwa kuanza kuuimba, hii inaonesha nguvu ya ushawishi waliyonayo wasanii wakubwa na pengine niseme kitu kimoja, ni kwamba huu mziki wa matusi ya wazi wazi muasisi ni Diamond pamoja na kundi lake la WCB, mm mwenyewe ni mpnz wa nyimbo za Mondi na kundi zima la WCB lkn huu ndio ukweli wenyewe kwmb kupitia wao wasanii wengine wakaona hii ndio direction na mpk ss tunapoelekea ni kubaya zaidi km hii perception ya wasanii wanaimba kulingana na uhitaji itaendelea kugonga ktk vichwa vya wasanii.
Recommendation
Wasanii wakubwa wanapaswa kujuwa wajibu wao kwmb mbali na kuburudisha pia waangalie namna ya kutoharibu maadili yaliyopo katika jamii kwn wao wanaweza kuamua ni mziki gn wa kuimba na hadhira itasikiliza na kupenda itake isitake
[emoji116][emoji116] huko kote nimegusa mzee icho kipengele nilisahau kuweka nimeshakiweka so rejea tena utanielewa mkuuNyimbo za matusi zimeanza kuimba kitambo Sana dully Sykes aliimba wimbo unaitwa utamu ndani ya ule una matusi Sana sio kweli mwanzilishi ni diamond
Mkuu kcamp ni kweli soko la muziki linategemea concept ya demand and supply, lkn kiuhalisia demand ambayo ndiyo hadhira inategemea sana suppliers ambao ndiyo wasanii hapa namaanisha huwezi ku demand kitu ambacho hakipo sokoni, so wasanii wana uwezo mkubwa wa kubadilisha akili ya hadhira hasa wasanii wakubwa mana hawa wadogo wanaangalia nn wakubwa wanafanya, kwa mfano kuna mziki umeibuka kwa ss mziki wa singeli japo ulikuwepo kwa mda kdg lkn ulikuwa unaonekana km mziki wa kihuni usio na maadili na ni wa uswahilini, lkn ghafla umeanza kupewa credibility baada ya wasanii wakubwa kuanza kuuimba, hii inaonesha nguvu ya ushawishi waliyonayo wasanii wakubwa na pengine niseme kitu kimoja, ni kwamba huu mziki wa matusi ya wazi wazi muasisi ni Diamond pamoja na kundi lake la WCB japo ni kweli matusi yalikuwepo huko nyuma lakini c kwa kiwango cha ss, huko nyuma ilikuwa nyimbo ikiwa na tusi hata kwny redio stesheni ulikuwa unafinywa kimtindo lkn kwa ss imeshaonekana ni kitu cha kawaida maana utafinya nyimbo ngp ilihali asilimia kubwa ya nyimbo za ss zinafanana, mm mwenyewe ni mpnz wa nyimbo za Mondi na kundi zima la WCB na huu ndio ukweli wenyewe kwmb kupitia wao wasanii wengine wakaona hii ndio direction na mpk ss tunapoelekea ni kubaya zaidi km hii perception ya wasanii wanaimba kulingana na uhitaji itaendelea kugonga ktk vichwa vya wasanii.
Recommendation
Wasanii wakubwa wanapaswa kujuwa wajibu wao kwmb mbali na kuburudisha pia waangalie namna ya kutoharibu maadili yaliyopo katika jamii kwn wao wanaweza kuamua ni mziki gn wa kuimba na hadhira itasikiliza na kupenda itake isitake
Miaka ya nyuma nyimbo zilikuwa zikitoa ujumbe wa mapenzi (zilikuwa zikiitwa nyimbo za mapenzi) kwa mfano:
TID ft Jay Dee - Understanding
TID - Asha
Jaydee ft Matonya - Anita
TID - Zeze
Dully Sykes - Hunifahamu
TID - Nyota Yangu
Jaydee ft Blue - Wangu
PNC ft Mlue - Mbona
Ray C - Unaifuata Nini
Q chief - Uhali Gani n.k
Sijui nini kimetokea sasa hivi wasanii wamekazana kuimba kuhusu ngono in such a way it is too much .sijui kama wanajua kwamba kuna kizazi kinawaangalia na kinawaiga yaan sasa hivi ni mwendo wa "kusafisha mtaro" mara utasikia "Tango" mara sijui "Uno" mara hujakaa vizuri "Tekenya".
Baadhi ya hayo masotojo
Maua sama - Niteke
Rayvanyy ft Lavalava - Tekenya
Diamond - Jeje
Nandy - Na Nusu
Dimpoz ft nandy - Kata
Harmonize - Uno
Diamond - Gere
Na nyingine nyingi mnaweza mkaongezea.
Ushauri: Hao BASATA naona wanadeal na product ya tatizo badala ya kudeal na tatizo lenyewe yaani wanashindwa kuwaita wasanii wakawaelekeza potential waliyo nayo na jinsi wanavyoitumia kupotosha kizazi na jinnsi ya kuitumia kwa usahihi. Wao wamekalia kufungia nyimbo tu halafu wiki mbili zikiisha wanamfungulia mtu anaendelea na utumbo uleule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga, So unachotaka kusema ni kwamba sasa hivi mapenzi yamefariki imebaki ngono so watu hawawezi kuimba tena mapenzi mpaka waimbe ngono mwanzo mwisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Raia ndiyo wana-shape aina ya mziki wanaouhitaji au wanamuziki ndiyo wana-shape raia wapende aina gani ya mziki?
Kiranga, So unachotaka kusema ni kwamba sasa hivi mapenzi yamefariki imebaki ngono so watu hawawezi kuimba tena mapenzi mpaka waimbe ngono mwanzo mwisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimwengu unatoka kwenda kwenye order unaenda kwenye disorder.
It's the second law of thermodynamics.
Chukua ndoo ya maji, mawagia tone la wino, utaona wino unatapakaa kwenye ndoo yote, wino haubaki sehemu moja.
Vivyo hivyo, zamani wapenzi waliandikiana mashairi ya heshima, siku hizi standards zimepungua watu wanaimbiana nitakubinua vipi, nitakushika vipi.
Hata nyimbo za Motown na Jodeci sio sawa.
Ndiyo muelekeo wa dunia huo.
Inategemea upo forum gnSio nyimbo tu hata Jf ya zamani sio sawa na ya sikuhizi ngono inazungumzwa hadharani
Kila kiumbe kinayajua mapenzi by defaultHivi mtu kama Diamond anajua mapenzi tangu lini?
Mtu hutoa kile kimjazacho moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kiumbe kinayajua mapenzi by default
Ni kwel wao ndio masupliers mkuu,lakin ukiona mzabuni hadi anabadlisha msosi ujue kashaona anarud sana na chakula nyumbanMkuu kcamp ni kweli soko la muziki linategemea concept ya demand and supply, lkn kiuhalisia demand ambayo ndiyo hadhira inategemea sana suppliers ambao ndiyo wasanii hapa namaanisha huwezi ku demand kitu ambacho hakipo sokoni, so wasanii wana uwezo mkubwa wa kubadilisha akili ya hadhira hasa wasanii wakubwa mana hawa wadogo wanaangalia nn wakubwa wanafanya, kwa mfano kuna mziki umeibuka kwa ss mziki wa singeli japo ulikuwepo kwa mda kdg lkn ulikuwa unaonekana km mziki wa kihuni usio na maadili na ni wa uswahilini, lkn ghafla umeanza kupewa credibility baada ya wasanii wakubwa kuanza kuuimba, hii inaonesha nguvu ya ushawishi waliyonayo wasanii wakubwa na pengine niseme kitu kimoja, ni kwamba huu mziki wa matusi ya wazi wazi muasisi ni Diamond pamoja na kundi lake la WCB japo ni kweli matusi yalikuwepo huko nyuma lakini c kwa kiwango cha ss, huko nyuma ilikuwa nyimbo ikiwa na tusi hata kwny redio stesheni ulikuwa unafinywa kimtindo lkn kwa ss imeshaonekana ni kitu cha kawaida maana utafinya nyimbo ngp ilihali asilimia kubwa ya nyimbo za ss zinafanana, mm mwenyewe ni mpnz wa nyimbo za Mondi na kundi zima la WCB na huu ndio ukweli wenyewe kwmb kupitia wao wasanii wengine wakaona hii ndio direction na mpk ss tunapoelekea ni kubaya zaidi km hii perception ya wasanii wanaimba kulingana na uhitaji itaendelea kugonga ktk vichwa vya wasanii.
Recommendation
Wasanii wakubwa wanapaswa kujuwa wajibu wao kwmb mbali na kuburudisha pia waangalie namna ya kutoharibu maadili yaliyopo katika jamii kwn wao wanaweza kuamua ni mziki gn wa kuimba na hadhira itasikiliza na kupenda itake isitake
Hata Mimi sijui kwa nini hali kama hii tumeiruhusu yaani ni upumbavu juu ya upumbavuMiaka ya nyuma nyimbo zilikuwa zikitoa ujumbe wa mapenzi (zilikuwa zikiitwa nyimbo za mapenzi) kwa mfano:
TID ft Jay Dee - Understanding
TID - Asha
Jaydee ft Matonya - Anita
TID - Zeze
Dully Sykes - Hunifahamu
TID - Nyota Yangu
Jaydee ft Blue - Wangu
PNC ft Mlue - Mbona
Ray C - Unaifuata Nini
Q chief - Uhali Gani n.k
Sijui nini kimetokea sasa hivi wasanii wamekazana kuimba kuhusu ngono in such a way it is too much .sijui kama wanajua kwamba kuna kizazi kinawaangalia na kinawaiga yaan sasa hivi ni mwendo wa "kusafisha mtaro" mara utasikia "Tango" mara sijui "Uno" mara hujakaa vizuri "Tekenya".
Baadhi ya hayo masotojo
Maua sama - Niteke
Rayvanyy ft Lavalava - Tekenya
Diamond - Jeje
Nandy - Na Nusu
Dimpoz ft nandy - Kata
Harmonize - Uno
Diamond - Gere
Na nyingine nyingi mnaweza mkaongezea.
Ushauri: Hao BASATA naona wanadeal na product ya tatizo badala ya kudeal na tatizo lenyewe yaani wanashindwa kuwaita wasanii wakawaelekeza potential waliyo nayo na jinsi wanavyoitumia kupotosha kizazi na jinnsi ya kuitumia kwa usahihi. Wao wamekalia kufungia nyimbo tu halafu wiki mbili zikiisha wanamfungulia mtu anaendelea na utumbo uleule.
Sent using Jamii Forums mobile app