Naamu hiyo ilikua sababu pia..inner Peace kwa sababu Hakuitendea haki Kipawa Chake..
Kaka Asante kwa kUchukua Muda wako na kubandika wazo la kitukufu kama hilo, tunafanyeje??
Kuna Bwana Anaitwa Robin Sharma, katika kitabu chake Kimoja kinachoitwa The Greatness Guide.. huyu Bwana anasema ili Jina lako liishi Milele Fanya Haya Mambo Matatu..Naamu hiyo ilikua sababu pia..
Je wewe umechukua hata gani ili uache alama duniani..
Kila binadamu ana vipawa na nguvu yake ya asili..hii inatupa purpose tofauti za maisha lakini kinachotuua ni kuamini kila mtu anaweza kuwa chochote anachokitaka, Huu ni uongo mkavu.. mtu ukijiangalia binafsi na kujua uwezo wako ni dhahiri utakuwa vile unavyostahili kuwa na si unavyotaka kuwa..hii huwa inapunguza stress na depressions zisizo na msingiNaam aliyasema maneno hayo coz alikosa the so-called inner peace. Tengeneza inner peace utafariki ukiwa umetabasamu
Jina lipi mkuu wanguuna jina Kubwa sana
Hapo umemaliza Kila Kitu Kaka, Asante saana!
Sidhan mkuu ... Na kwa nini ni jina kubwa mkuu dah unantshaBaba swalehe ni Jina Kubwa sana Humu Ndani
Asante Mkuu.. Kila ninapowaza haya Mambo kuna Energy kubwa ya Ajabu inaniingiaaShukrani mkuu Archtectus... tubunie tu majengo mazuri tutakukumbuka au hujui msanifu wa soko la kariakoo hadi leo anakumbukwa... you can be one ukiamua [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Anhaa nimeona ulipoegemea sasa. Wewe wahitaji kuacha alama iyoshikika/Tangible, unaonaje uache alama intangible hafu kisha uandike vitabu. MTU kama Siddhartha Gautama, Paulo Apostle, Thomas Aquinas, Jesus of Nazareth, Ni baadhi ya watu walioacha alama duniani Na watakumbukwa daima ila hawakufanya vyote ulivuoainisha hapo there purpose were to pursue Inner Peace & Happiness by doing Good Acts, Help,Advice etc.Kuna Bwana Anaitwa Robin Sharma, katika kitabu chake Kimoja kinachoitwa The Greatness Guide.. huyu Bwana anasema ili Jina lako liishi Milele Fanya Haya Mambo Matatu..
1.Panda mti
2.Kuwa na Mtoto wa Kiume
3.Andika Kitabu
Binafsi mimi kwa mtazamo wangu sasa naona it won't work kwa dunia ya sasa
Yeap hiyo energy ndo inatakiwa kuishi ingawa maisha tu sometimes yanakatisha tamaa na kama hauna mazingira yailiyo supportive hasa kwa familia na marafiki...hii energy kuifanya iishi huwa ni mtihaniAsante Mkuu.. Kila ninapowaza haya Mambo kuna Energy kubwa ya Ajabu inaniingiaa
Ht kukosa usingizi ni kipaji mkuu [emoji12]sijui hata Kipaji Nilichonacho