Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Naam aliyasema maneno hayo coz alikosa the so-called inner peace. Tengeneza inner peace utafariki ukiwa umetabasamu
inner Peace kwa sababu Hakuitendea haki Kipawa Chake..
 
Shukrani... ukitaka uijue thamani yako basi watendee mambo mazuri watu wengine ambao pengine ni marafiki tu au watu utakaokutana nao kwa ugeni..shukrani yao itakufanya ujihisi poa

Kingine nilichojifunza ni kuwa, mara nyingine kutegemea watu wakuambie kuwa wewe ni wa thamani huwa haijakaa poa, kila binadamu ana mitazamo yake na hata ukifanya jema bado kuna watu watalichukulia vibaya hivyo,ISHI MAISHA YAKO TU ... Fanya unachokiona kipo sawa kwa wakati wako.Fanya vitu vitakavyokukuza kiuelewa ,kistadi na kimaarifa maana huu ndio mtaji mkuu katika maisha..

Kingine kuacha jina lako ni kitu kitakuja tu pale utakapokuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi zaidi.. sisi ni wakubwa lakini pia ni wadogo kuanza kujihangaisha na vitu vinavyozidi uwezo wetu. Tutumie muda huu kujifunza na kuwekeza katika maisha yetu ya baadae na pia kujitoa kwa kiasi cha uwezo wetu... ukishakuwa na uwezo ndipo inakuwa rahisi ila kuumiza kichwa bila malengo na mipango ni kupoteza muda
Kaka Asante kwa kUchukua Muda wako na kubandika wazo la kitukufu kama hilo, tunafanyeje??
 
Naamu hiyo ilikua sababu pia..
Je wewe umechukua hata gani ili uache alama duniani..
Kuna Bwana Anaitwa Robin Sharma, katika kitabu chake Kimoja kinachoitwa The Greatness Guide.. huyu Bwana anasema ili Jina lako liishi Milele Fanya Haya Mambo Matatu..
1.Panda mti
2.Kuwa na Mtoto wa Kiume
3.Andika Kitabu

Binafsi mimi kwa mtazamo wangu sasa naona it won't work kwa dunia ya sasa
 
Naam aliyasema maneno hayo coz alikosa the so-called inner peace. Tengeneza inner peace utafariki ukiwa umetabasamu
Kila binadamu ana vipawa na nguvu yake ya asili..hii inatupa purpose tofauti za maisha lakini kinachotuua ni kuamini kila mtu anaweza kuwa chochote anachokitaka, Huu ni uongo mkavu.. mtu ukijiangalia binafsi na kujua uwezo wako ni dhahiri utakuwa vile unavyostahili kuwa na si unavyotaka kuwa..hii huwa inapunguza stress na depressions zisizo na msingi
 
Shukrani mkuu Archtectus... tubunie tu majengo mazuri tutakukumbuka au hujui msanifu wa soko la kariakoo hadi leo anakumbukwa... you can be one ukiamua [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Asante Mkuu.. Kila ninapowaza haya Mambo kuna Energy kubwa ya Ajabu inaniingiaa
 
Kuna Bwana Anaitwa Robin Sharma, katika kitabu chake Kimoja kinachoitwa The Greatness Guide.. huyu Bwana anasema ili Jina lako liishi Milele Fanya Haya Mambo Matatu..
1.Panda mti
2.Kuwa na Mtoto wa Kiume
3.Andika Kitabu

Binafsi mimi kwa mtazamo wangu sasa naona it won't work kwa dunia ya sasa
Anhaa nimeona ulipoegemea sasa. Wewe wahitaji kuacha alama iyoshikika/Tangible, unaonaje uache alama intangible hafu kisha uandike vitabu. MTU kama Siddhartha Gautama, Paulo Apostle, Thomas Aquinas, Jesus of Nazareth, Ni baadhi ya watu walioacha alama duniani Na watakumbukwa daima ila hawakufanya vyote ulivuoainisha hapo there purpose were to pursue Inner Peace & Happiness by doing Good Acts, Help,Advice etc.
Hebu fikiria kuweka alama duniani Na huko utakapoelekea baada ya kuishi hapa.
 
Thomas Aquinas
Huyo Jamaa ukimjulisha na Ignatius of Loyola ni MarollModels wangu.. tatizo tumeishi Nyakati tofauti.. unadhani na Elimu yako Bwana Davinci ungezaliwa enzi za Nyerere si Ungekuwa Prime Minister Kabisa
 
Asante Mkuu.. Kila ninapowaza haya Mambo kuna Energy kubwa ya Ajabu inaniingiaa
Yeap hiyo energy ndo inatakiwa kuishi ingawa maisha tu sometimes yanakatisha tamaa na kama hauna mazingira yailiyo supportive hasa kwa familia na marafiki...hii energy kuifanya iishi huwa ni mtihani
 
Back
Top Bottom