Mmmhh yaani wewe..Le akili kubwazzzzzzzz
Nafarijika kuona MTU kajifunza kitu kutoka kwenye utumbo wanguDaaah ukitulia unaandika fact..
Nimejifunza kitu.
Una akili sana.Nafarijika kuona MTU kajifunza kitu kutoka kwenye utumbo wangu
Ndiyo mimiMmmhh yaani wewe..
Ahsante BUna akili sana.
Una busara sana.
Unajua kujishusha.
Haujui kujipaiza.
Hadi nimefurahi sana.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sitaki kuongeza neno kila wajua namaanisha mini. Sawa tuNdiyo mimi
At the end of the day, life is about being happy being who you are, and I feel like you are so blessed.Ahsante B
Nafurahi kulitambua hilo. But yote hayo sifa Na shukrani ziende kwa Mungu ndio kufanya niwe hivo.
"Kumcha Mungu ni mwanzo wa hekima Na maarifa"
-Kitabu cha muhubiri
Andika kitabu. Wapenda kusoma tutakukumbukaNalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..
Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..
Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?
Jamani nisamehe. Ni mfumo tuu wa maisha ninayoishi yamefanya iwe hivyo.Sitaki kuongeza neno kila wajua namaanisha mini. Sawa tu
Sidhan mkuu....Karibia Kila mtu anakufahamu
Ndio. Kua Na furaha ndio maisha yatakua yenye thamani kwako. Huwez Fanya kitu kama huna furaha ndio maana mtume Paulo alisisitiza mno kwenye nyaraka zake kua FURAHINI, NARUDIA FURAHINI KATIKA BWANA coz ukiwa Na furaha utaweza Fanya mambo inavyotakiwa.At the end of the day, life is about being happy being who you are, and I feel like you are so blessed.
Badirisha kwangu huo mfumo. Yawezekana unamkosesha MTU furahaJamani nisamehe. Ni mfumo tuu wa maisha ninayoishi yamefanya iwe hivyo.
Da vinci ... Umeskia . Nlvyokufa ... Nilipata raha sanaNitumie links sijausoma wala kuuona
Pole sana!Da vinci ... Umeskia . Nlvyokufa ... Nilipata raha sana
Mi kwara ya andunje hakukupa helaGuys maandiko yangu yana errors hatareee hadi yanatia kinyaa kusoma.
Why?
Simu nayotumia mbovu mnoo kiochote hakuna hali. Nivumilieni, ni umaskini tu yatapita..
Tunaelewa hvyo hvy mkuu dont woryGuys maandiko yangu yana errors hatareee hadi yanatia kinyaa kusoma.
Why?
Simu nayotumia mbovu mnoo kiochote hakuna hali. Nivumilieni, ni umaskini tu yatapita..