Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Una akili sana.
Una busara sana.
Unajua kujishusha.
Haujui kujipaiza.
Hadi nimefurahi sana.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ahsante B
Nafurahi kulitambua hilo. But yote hayo sifa Na shukrani ziende kwa Mungu ndio kufanya niwe hivo.
"Kumcha Mungu ni mwanzo wa hekima Na maarifa"
-Kitabu cha muhubiri
 
Nalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..

Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..

Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?
Andika kitabu. Wapenda kusoma tutakukumbuka
 
At the end of the day, life is about being happy being who you are, and I feel like you are so blessed.
Ndio. Kua Na furaha ndio maisha yatakua yenye thamani kwako. Huwez Fanya kitu kama huna furaha ndio maana mtume Paulo alisisitiza mno kwenye nyaraka zake kua FURAHINI, NARUDIA FURAHINI KATIKA BWANA coz ukiwa Na furaha utaweza Fanya mambo inavyotakiwa.
Huwezi Fanya Kazi kama huna furaha, huwezi abudu bila kua Na furaha.
HIV inaua coz MTU ajakua hana furaha, kutoka Na furaha kunamletea msongo, msongo unaleta magonjwa lundooo. FURAHINI .
He wewe furaha Na amani unaipata vipi!?
 
Back
Top Bottom