hii ni According to huyo mwandishiKaka mkubwa hayo mawili ya juu katika matatu uliyoyataja napingana sababu miti hufa halikadhalika vizazi vina ukomo.
Ila elimu hubakia na kilicho andikwa kimeandikwa. Ila hapa pia katika kuandika vitabu sio kila kitabu kitabaki,wangapi wamendika vitabu na vikapotea ?
sio hivyo Lengo la Mungu Kumuumba Mwanadamu ni autumie uwezo wake kwa kadri AlivyompaMbina unajipa stress aisee jamaa, kwani ukipata unavuo fikiro ndio ukifa utaenda navyo mbinguni au sifa utakazo pata kulingana na vitu ulivyo tengeneza zitasaidia kukupunguzia dhambi mbinguni,
Lengo la Mungu kwa mwanadamu kuishi duniani sio kuwa na baiskeli wala gari aisee jamaaa
hpn we jamaa una akil sana ... Share hvyo hvyo ... Si wengne i.q zetu 22 ... Share hvyo hvyo my genius brother from jfInatia kichefu chefu kusoma
sio hivyo Lengo la Mungu Kumuumba Mwanadamu ni autumie uwezo wake kwa kadri Alivyompa
We si mpiga hela? Umekuake mhanga tena.Mkuu sasa unadhani tufanyeje hii dunia maana na Mimi ni mhanga ukipata jibu nitag mkuu
Na ndiyo vitu ninavyovihitaji.Vinci hana mengi ya kukupa ila anakuahida kukupa hivi vitu..
Vichache tu hivyo ndo nilivyonavyo kwako
- Kukupenda.
- Kukuheshimu
- Kukusikiliza
Kwanini tuishi!?Na ndiyo vitu ninavyovihitaji.
Asante sana
Kanye msikitini utavumaNalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..
Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..
Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?
Sana hata hii thread tu imeshafanya tusemezane , tunatakiwa tuinuane ili siku moja hata baada ya miaka fulani tukirudi hapa..tukumbuke maneno tuliyoyaandika..pamoja broNadhani sasa ni Muda wa sisi Vijana kupeana mawazo chanya.. tunaweza kaka
Sijaelewa umesemajeKwanini tuishi!?
hpn we jamaa una akil sana ... Share hvyo hvyo ... Si wengne i.q zetu 22 ... Share hvyo hvyo my genius brother from jf
I.q yangu 220 sijamalzia kuandka ... Hebu angalia tena nlichoandkaMkuu wanasema..ukubali uzuri wa mtu pasipo kuutilia shaka au kuushusha uzuri wako...
Usijishushe na kujichukulia poa maana unavyojifikiria ndivyo utakavyokuwa.
Usiwaze mkuu ...ni vile tu huwa sipendi mtu ajishushe ila nimekuelewa sanaaaaI.q yangu 220 sijamalzia kuandka ... Hebu angalia tena nlichoandka
Nashukur mkuu wangu eyce
I mean kwanini tunaishi!? Hivi tunavyoishi ndivyo ilivyotakiwa tuishi?Sijaelewa umesemaje