Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

[QUOTE="stritglow, post: 28415666, member: 483799"]don't live the same year 75 times and call it a life. So try new things, visit new places, expose yourself to different experiences. Don't do the same things day in day out. We only have but one life. Live it, and live it well.[/QUOTE]
Asante sana Bonge la Nukuu
 
Kaka mkubwa hayo mawili ya juu katika matatu uliyoyataja napingana sababu miti hufa halikadhalika vizazi vina ukomo.

Ila elimu hubakia na kilicho andikwa kimeandikwa. Ila hapa pia katika kuandika vitabu sio kila kitabu kitabaki,wangapi wamendika vitabu na vikapotea ?
hii ni According to huyo mwandishi
 
Mbona unajipa stress aisee jamaa, kwani ukipata unavyo fikiri ndio ukifa utaenda navyo mbinguni au sifa utakazo pata kulingana na vitu ulivyo tengeneza zitasaidia kukupunguzia dhambi mbinguni,

Lengo la Mungu kwa mwanadamu kuishi duniani sio kuwa na baiskeli wala gari aisee jamaaa
 
Mbina unajipa stress aisee jamaa, kwani ukipata unavuo fikiro ndio ukifa utaenda navyo mbinguni au sifa utakazo pata kulingana na vitu ulivyo tengeneza zitasaidia kukupunguzia dhambi mbinguni,

Lengo la Mungu kwa mwanadamu kuishi duniani sio kuwa na baiskeli wala gari aisee jamaaa
sio hivyo Lengo la Mungu Kumuumba Mwanadamu ni autumie uwezo wake kwa kadri Alivyompa
 
Safi kabisa, basi kama ilivyo kwa kila mwanadamu ameumbwa na uwezo wake aa kipekee , basi hili uliyo nao ndio uwezo wako jamaaa
sio hivyo Lengo la Mungu Kumuumba Mwanadamu ni autumie uwezo wake kwa kadri Alivyompa
 
Nalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..

Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..

Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?
Kanye msikitini utavuma
 
Nadhani sasa ni Muda wa sisi Vijana kupeana mawazo chanya.. tunaweza kaka
Sana hata hii thread tu imeshafanya tusemezane , tunatakiwa tuinuane ili siku moja hata baada ya miaka fulani tukirudi hapa..tukumbuke maneno tuliyoyaandika..pamoja bro
 
Back
Top Bottom