Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Bhasi ulichonacho huwa wanacho watu wengi ambao ni wabunifu na wenye upeo mkubwa wa kufikiria na kutengeneza imaginations nzuri... ubaya wa hawa watu kama introverted wakikutana na reality ya dunia hujihisi unyoge kutokana na uzani wa new energy
Mkuu hapa umenisema Kabisa.. Sometimes Najisikia Mnyonge kiasi kwamba sipendi Kuchangamana na Watu Mitaani
 
Mkuu Kumbuka hauna Experience ya Kifo maybe theory ya Reincarnation itatokea
Theory are not things that have been proved to be true,that may or may not be possible...half bible inasema tukifufuliwa tutapewa miili mipya so huenda tusitambuane kabisa ,yaan wew huenda usiwatambue ndg zako maana kama tutapewa utambuz wa namna hyo bhc mbinguni watu hawataishi kwa furaha huku ndg zao wanaowafahamu wakiwa jehanamu.....mm kuacha kumbukumbu ya vizaz is not sth to be proud of maana bado sijaona faida ninayopata kwa watu kuendelea kunikumbuka vizaz na vizaz huku mm nikiwa nishaoza kabisa na sina msaada nao....ikitokea nimeacha kumbukumbu bhc tuvimetokea lkn siishi ili niache kumbukumbu maana hakika sioni faida ya kuacha kumbukumbu duniani
 
Huoni tamaa MTU anapokumbukwa kwa mazuri take huko! Kama unaaimini katika Rebirth au Reincarnation wa wanavyokuongea katika mazuri yako inajenga energy ambayo inakufanya kukupa points za kua mahali salama zaidi
Sikati tamaa kabisa na wala sioni wivu wala faida ya kukumbukwa.....kwangu mm kama mktisto siamini kwamba kukumbukwa na watu kwa matendo niliyoyatenda kutanifanya niwe mahala salama .....Kuna watu wametenda dhambi sana ila kwa siri sana japo wanakumbukwa kwa mazuri waliyoyafanya mbele za watu...watu was HV moto utawahusu tu hata wakikumbukwa na dunia nzima....Kukumbukwa hakuna faida yoyote kwa mkumbukwaji..tenda mema,sepa hapa na upishe wengine....
 
Fukunyua Desa Mkuu.. kwa Muda huu ambao watoto wamelala.. tudiscuss Points zenye Mbolea..
Kiongozi
Mtaji wa kwanza kabisa ni Ideas ya biashara kisha Information ya biashara husika mwisho ndio inakuja Capital.
Issue ya capital unapata wapi tunaangalia wewe una nini? Umezungukwa Na akina nami?
Ukishajibu hayo maswali Basi utaua na starting point.

NB. Huwez anzia 2 au 4 lazima uanze 1 ikiwezekana zero kabisa
 
Safi kabisa. Hapo ushapiga hata ya kujitambua wewe ni nan? Ongeza bidii ujitambue IPO wapi Na unafanya mini?
Exactly mkuu.. kama architecture wetu anasema hana kazi wala ujuzi... ni kama mimi tu na sioni cha ajabu so long as nina time

Kazi inatafutwa, biashara inaanzishwa na ujuzi unapatikana.. kama huna ajira au biashara ni lazma ujue hivyo vitu vinahitaji vitu gani in form of skills and knowledge.. ukishajua ujuzi na maarifa yanayohitajika bhasi unatakiwa ujue utavipata wapi na wewe utajiwezeshaje kuvipata... FULL STOP ,hii ndio mission yangu ya sasa na nnashukuru sijipi stress.

Ukishakuwa mzuri, hutotafuta soko bali soko litakutafuta na hata kama halitokutafuta bhasi utalipata kirahisi
 
Upo sahihi kiongozi wangu!
Tafuta maarifa/ujuzi
Kisha tengeneza jina mwisho kabisa sasa tengeneza pesa. Hapo lazima utoboe tu
 
Kiongozi
Mtaji wa kwanza kabisa ni Ideas ya biashara kisha Information ya biashara husika mwisho ndio inakuja Capital.
Issue ya capital unapata wapi tunaangalia wewe una nini? Umezungukwa Na akina nami?
Ukishajibu hayo maswali Basi utaua na starting point.

NB. Huwez anzia 2 au 4 lazima uanze 1 ikiwezekana zero kabisa
i appreciate Bro.. Mimi nataka Kuanzia zero kabisa, Kinachonipa haya mawazo ni Bwana Mmoja aliturequest tumsaidie kwenye ishu Moja ya Concrete Mixing.. ee bwana mshikaji ana elimu ya std VII ila anamiliki kampuni ya Ujenzi class one.. na anasema alianza kama Fundi Nyoka..
 
Sikati tamaa kabisa na wala sioni wivu wala faida ya kukumbukwa.....kwangu mm kama mktisto siamini kwamba kukumbukwa na watu kwa matendo niliyoyatenda kutanifanya niwe mahala salama .....Kuna watu wametenda dhambi sana ila kwa siri sana japo wanakumbukwa kwa mazuri waliyoyafanya mbele za watu...watu was HV moto utawahusu tu hata wakikumbukwa na dunia nzima....Kukumbukwa hakuna faida yoyote kwa mkumbukwaji..tenda mema,sepa hapa na upishe wengine....
Hongera maoni yako Na msimamo wako unaheshimika. It's better to be differ.
"If somebody slap you, be different hit a punch"
 
Mkuu hapa umenisema Kabisa.. Sometimes Najisikia Mnyonge kiasi kwamba sipendi Kuchangamana na Watu Mitaani
Naelewa maana hata mimi napitia the same thing au pengine nipo kwenye transformation.. bro ukiogopa wala hutotoka room ila cha msingi ni kujua kitu nguvu yako ipoje na utaitumiaje..hizo insecurities hazitasaidia maana katika future ,utajutia fursa ulizozipoteza..

Simply toka kwenye comfort zone yako..that harsh reality in our communities can not be changed by our ideas but our acts... hiki ndo cha msingi LETS ACT BRO
 
Hahaaaa tukumbukane tu ...ntaurejea pia maana kila hatua tunazopitia tunapata insights mpya, aidha zinapinga tulizokuwa nazo au zinakubaliana nazo ..hypothesis formulation
Sure, Kuna Bwana Mmoja Muitaliano Niliwahi Kukutana nae uwanja wa Ndege Mmoja Pale Moshi.. aliulizwa huwa unapataje idea Mpya na Productive? Anaitwa Adriano yule Mshikaji aliwapa Jibu Short saana yaani Solitude.. Kutulia mwenyewe Bila Bughuda lazima Upate wazo Jipya
 
There are three enemies of personal peace... Regret over yesterday's mistakes, anxiety over tomorrow’s problems, and ingratitude for today's blessing.

Wewe yapili ndo inakusumbua, if we can even call it a problem, worried about how you are gonna be remembered. This is gonna make you lose sight of what you have right now and what you can do with it.
 
i appreciate Bro.. Mimi nataka Kuanzia zero kabisa, Kinachonipa haya mawazo ni Bwana Mmoja aliturequest tumsaidie kwenye ishu Moja ya Concrete Mixing.. ee bwana mshikaji ana elimu ya std VII ila anamiliki kampuni ya Ujenzi class one.. na anasema alianza kama Fundi Nyoka..
Kua mpole usiwaze kila MTU Na Maputo yake . juzi niliandika kitu but naona kilikua offeoffensivende wako kila ile tulikua u kweli mchungu! Kwa system ya Tanzania. Nina vingi vya kuongea nawe kila chaji imeisha kesho ukiwa online nistue time tusemezane iwe dini, life,Entertainment, Business, Conspiracy, Criminology etc
Usiku mwema kwako Mkuu Na wadau tulikua naona humu.
 
Simply toka kwenye comfort zone yako
Umenikumbusha Mbali saana na Huu Msemo.. Kuna bwana Mmoja Jina limenitoka Kidogo aliwahi kuandika usipende kuwa katika Njia Comfortable.. yaani penda kuwa uncomfortable.. Nikikumbuka kile kitabu nitakiupload hapa..
 
Back
Top Bottom