Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
HUYO RAFIKI AKO NI DINI GANI? ANA KIPATO CHA JUU?NI MUHIMU NIJIBU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi bado ninayoNapenda ndio!
Kipato chake kinahusiana nini na tatizo lake Aggyjay?HUYO RAFIKI AKO NI DINI GANI? ANA KIPATO CHA JUU?NI MUHIMU NIJIBU
Hata mimi bado ninayo
Hata mimi bado ninayo
Njoo PM uichukueTafadhali unipatie! wajua ni vile babu shija aliniambia ni kitu muhimu sana nikiipata nipeleke akanifanyie dawa
Rubii unavitukoDuh! bado bikra
mkuu, mshauri amuone dr mwaka ampe tiba mbadala atapona...nimesikia watu wakisema kuwa dr mwaka anaweza kutoa tiba hiyo.Nina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo kimoja mimi na yeye lakini kozi tofauti. Lakini bado tulikuwa karibu sana tukisaidia.Mpaka tunamaliza chuo.
Lakini kuna jambo moja alikuwa ananificha kwa kipindi kirefu bila kuniambia, lakini kwa tabia yake sikuwah ikujua kabisa kama huyu rafiki yang dudu yake haifanyi kazi. Alikuwa karibu na wasichana sana na alipendwa na kila msichana kwa ucheshi wake, utanashati na vituko. Nilijua jamaa yangu huyu ni kicheche kweli.
Siku zimeenda baada ya kuhitimu Mungu alijalia tulipata kazi wote hapa Dar, lakini sector tofauti, yeye akaenda kupanga Mwenge na mimi nikapanga zangu Mbagala mji wa kijanja. Mi nikavuta jiko fasta maana wakati nikiwa chuo nilimpa mwanachuo mwenzangu mimba ndie niliyemchukua na kumuweka ndani na harusi ilifanyika na shega alikuwa rafiki yangu.
Sasa siku zikawa zinakwenda sioni shemeji yangu kila nikimuuliza anasema muda bado. Lakini akija kwangu akitazama mwanangu machozi yanamtoka. Nikawa najiuliza kwanini huyu rafiki akimuona mwanangu analia? Kuna siku nikamuuliza sababu nini?
Alichonijibu akaniambia moyo wa mtu kichaka. Ila ipo siku atanimbia. Muda mwingine alikuwa na mawazo sana, nikawa nashindwa kumwelewa jamaa kama maisha anayo mazuri, gari ya kutembelea anayo na hana familia ya kumusumbua sasa tatizo ni nini?
Leo kaja kwangu asubuhi, akanambia rafiki kuna jambo nataka nikwambia. Akaanza kunipa stori, alianza kusema huku analia, akasema toka amezaliwa mpaka leo miaka 29 hajawahi kulala na mwanamke yani dudu yake haifanyi kazi kabisa. Nilisikitika sana nakulia sikujua nianzie wapi kumshauri. Nilichomwambia anipe muda nitafakari nini cha kumsaidia rafiki yangu kipenzi.
Nimetafakari wee nikaona nije kwa wana JF hawakosi ushauri.
NAJUA MWENYEWEKipato chake kinahusiana nini na tatizo lake Aggyjay?
Tafadhali unipatie! wajua ni vile babu shija aliniambia ni kitu muhimu sana nikiipata nipeleke akanifanyie dawa
WANA JF WOTE NINAOMBA MSOME NYOTE KWANI NI KWA MANUFAA YA HATA WASIO NA TATIZO HILO.HILI TATIZO KUBWA LINALOSUMBUA DUNIA KWA SASA AMINI MSIAMINI DUNIA ITAYUMBA TENA ENDAPO HATUTACHUKU TAHADHARI KABLA YA HATARI,VYURA WANALIA NO POWER HASA DMS NDIYO ZAID I YA KWINGINEKONina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo kimoja mimi na yeye lakini kozi tofauti. Lakini bado tulikuwa karibu sana tukisaidia.Mpaka tunamaliza chuo.
Lakini kuna jambo moja alikuwa ananificha kwa kipindi kirefu bila kuniambia, lakini kwa tabia yake sikuwah ikujua kabisa kama huyu rafiki yang dudu yake haifanyi kazi. Alikuwa karibu na wasichana sana na alipendwa na kila msichana kwa ucheshi wake, utanashati na vituko. Nilijua jamaa yangu huyu ni kicheche kweli.
Siku zimeenda baada ya kuhitimu Mungu alijalia tulipata kazi wote hapa Dar, lakini sector tofauti, yeye akaenda kupanga Mwenge na mimi nikapanga zangu Mbagala mji wa kijanja. Mi nikavuta jiko fasta maana wakati nikiwa chuo nilimpa mwanachuo mwenzangu mimba ndie niliyemchukua na kumuweka ndani na harusi ilifanyika na shega alikuwa rafiki yangu.
Sasa siku zikawa zinakwenda sioni shemeji yangu kila nikimuuliza anasema muda bado. Lakini akija kwangu akitazama mwanangu machozi yanamtoka. Nikawa najiuliza kwanini huyu rafiki akimuona mwanangu analia? Kuna siku nikamuuliza sababu nini?
Alichonijibu akaniambia moyo wa mtu kichaka. Ila ipo siku atanimbia. Muda mwingine alikuwa na mawazo sana, nikawa nashindwa kumwelewa jamaa kama maisha anayo mazuri, gari ya kutembelea anayo na hana familia ya kumusumbua sasa tatizo ni nini?
Leo kaja kwangu asubuhi, akanambia rafiki kuna jambo nataka nikwambia. Akaanza kunipa stori, alianza kusema huku analia, akasema toka amezaliwa mpaka leo miaka 29 hajawahi kulala na mwanamke yani dudu yake haifanyi kazi kabisa. Nilisikitika sana nakulia sikujua nianzie wapi kumshauri. Nilichomwambia anipe muda nitafakari nini cha kumsaidia rafiki yangu kipenzi.
Nimetafakari wee nikaona nije kwa wana JF hawakosi ushauri.
Hujambo mama?
Sijambo
Ila ndugu zangu ,kama huna cha kumsaidia huna haja kumdhihaki mleta uzi ,haya ni maisha tu yaweza nawe siku moja ukakutwa na tatizo hilo,na kibaya zaidi bora ya yeye ambae hajawahi kufanya kuliko wewe uliekua unafanya.Nimefarijika kuna watu wameonyesha nia ya kumsaidia ndugu yetu.
Asante mama, miss you!
Kwani kuzini ni lazima.?Hii hatari aisee, yani toka kuzaliwa kwake mpaka sasa hajawahi kuonja. Ila kwa yote sifa apewe yeye aliye muumbaji, kuna mwingine uzaliwa hana macho, mwingine mikono, mwingine kiziwi, mwingine kipofu, mwingine kilema n.k lakini cha huyu kaka ni hatari, na kama kazaliwa hivyo ni vigumu kupona kabisa.
MIMI NAHISI NI WEWE ILA UNAONA NOMA NA KUMSEMEA MSHIKAJI WAKONina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo kimoja mimi na yeye lakini kozi tofauti. Lakini bado tulikuwa karibu sana tukisaidia.Mpaka tunamaliza chuo.
Lakini kuna jambo moja alikuwa ananificha kwa kipindi kirefu bila kuniambia, lakini kwa tabia yake sikuwah ikujua kabisa kama huyu rafiki yang dudu yake haifanyi kazi. Alikuwa karibu na wasichana sana na alipendwa na kila msichana kwa ucheshi wake, utanashati na vituko. Nilijua jamaa yangu huyu ni kicheche kweli.
Siku zimeenda baada ya kuhitimu Mungu alijalia tulipata kazi wote hapa Dar, lakini sector tofauti, yeye akaenda kupanga Mwenge na mimi nikapanga zangu Mbagala mji wa kijanja. Mi nikavuta jiko fasta maana wakati nikiwa chuo nilimpa mwanachuo mwenzangu mimba ndie niliyemchukua na kumuweka ndani na harusi ilifanyika na shega alikuwa rafiki yangu.
Sasa siku zikawa zinakwenda sioni shemeji yangu kila nikimuuliza anasema muda bado. Lakini akija kwangu akitazama mwanangu machozi yanamtoka. Nikawa najiuliza kwanini huyu rafiki akimuona mwanangu analia? Kuna siku nikamuuliza sababu nini?
Alichonijibu akaniambia moyo wa mtu kichaka. Ila ipo siku atanimbia. Muda mwingine alikuwa na mawazo sana, nikawa nashindwa kumwelewa jamaa kama maisha anayo mazuri, gari ya kutembelea anayo na hana familia ya kumusumbua sasa tatizo ni nini?
Leo kaja kwangu asubuhi, akanambia rafiki kuna jambo nataka nikwambia. Akaanza kunipa stori, alianza kusema huku analia, akasema toka amezaliwa mpaka leo miaka 29 hajawahi kulala na mwanamke yani dudu yake haifanyi kazi kabisa. Nilisikitika sana nakulia sikujua nianzie wapi kumshauri. Nilichomwambia anipe muda nitafakari nini cha kumsaidia rafiki yangu kipenzi.
Nimetafakari wee nikaona nije kwa wana JF hawakosi ushauri.
Kama wewe jamaa ni mwanaume basi hata wewe unaweza jiunga na kina Kaoge...siyo busara kumwambia mwenzako hivyo!!!mhhhh huyo ajiunge na team Kaoge , anaweza burudika kwa njia nyingine maana hiyo ya sasa imeshindikana