Sijui nitamsaidiaje huyu rafiki yangu, uume wake haufanyi kazi kabisa

HUYO RAFIKI AKO NI DINI GANI? ANA KIPATO CHA JUU?NI MUHIMU NIJIBU
 
mkuu, mshauri amuone dr mwaka ampe tiba mbadala atapona...nimesikia watu wakisema kuwa dr mwaka anaweza kutoa tiba hiyo.
 
WANA JF WOTE NINAOMBA MSOME NYOTE KWANI NI KWA MANUFAA YA HATA WASIO NA TATIZO HILO.HILI TATIZO KUBWA LINALOSUMBUA DUNIA KWA SASA AMINI MSIAMINI DUNIA ITAYUMBA TENA ENDAPO HATUTACHUKU TAHADHARI KABLA YA HATARI,VYURA WANALIA NO POWER HASA DMS NDIYO ZAID I YA KWINGINEKO

5 Common Causes of Impotence
 

Acha kabisa kama umewahi kuchovya kisha mungu akupe huo mtihani........kila ukifikiria unaweza kufa kwa kihoro aise.
 
Hii hatari aisee, yani toka kuzaliwa kwake mpaka sasa hajawahi kuonja. Ila kwa yote sifa apewe yeye aliye muumbaji, kuna mwingine uzaliwa hana macho, mwingine mikono, mwingine kiziwi, mwingine kipofu, mwingine kilema n.k lakini cha huyu kaka ni hatari, na kama kazaliwa hivyo ni vigumu kupona kabisa.
 
Kwani kuzini ni lazima.?
 
MIMI NAHISI NI WEWE ILA UNAONA NOMA NA KUMSEMEA MSHIKAJI WAKO
 
huo uume hauna hata KAZI ya kutiririsha mkojo?
 
mhhhh huyo ajiunge na team Kaoge , anaweza burudika kwa njia nyingine maana hiyo ya sasa imeshindikana
Kama wewe jamaa ni mwanaume basi hata wewe unaweza jiunga na kina Kaoge...siyo busara kumwambia mwenzako hivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…