Sijui nitamsaidiaje huyu rafiki yangu, uume wake haufanyi kazi kabisa

Daaah...nadhani ufumbuzi utapatikana,wenye taaluma zao wapo hapa
 
Usiwe kama mtoto mdogo SASA unalazimisha jamaa aseme ni yeye hata kama sio yeye, kwa hekima za kumkomboa best wake ndiyo maana ameamua kutafuta tiba
 
hatari na nusu, kuna waganga wa kutosha humu ngoja waje
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jf tena kuna waganga kwikwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
 
Daaah! aisee... SEX ndo Kila Kitu, Miaka 29 hujawahi dindisha wala kuSEX, Noma sana hiii.

But in God, kila kitu kinawezekana. Ila Jamaa amechelewa sana Kutafuta Ufumbuzi wa hilo Tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…