Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mrejesho basi mana toka July hadi now ni November......Haaaaaaaa umeona mkuu, nimeona pm kibao kwamba wanaweza kutibu tatizo hilo. Lakini kuna mmoja tumeisha wasiliana na tumeonana ametoa jamaa anatumia
Usiwe kama mtoto mdogo SASA unalazimisha jamaa aseme ni yeye hata kama sio yeye, kwa hekima za kumkomboa best wake ndiyo maana ameamua kutafuta tibaNdio mana nikakwambia wewe mwenyewe ndio dushe mduuu,unaona ulivyo mkari,kama kweli unataka tiba ya jamaa yako lugha mbovu za nini,na nimekwambia aje mwenyewe mjengoni,
Ndio mana nikakwambia huku kwa wakubwa usilete uzi wa kijinga watakun,gamua.
Lakini usijali tutakutumia kama simu zilizofungiwa sasa ivi zipo kama calculator ,ata wewe usijali mana huna nia kama dushe alipandi kuna matumizi mengine tutakutumia na unafaa shaka ya nini.
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jf tena kuna waganga kwikwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwhatari na nusu, kuna waganga wa kutosha humu ngoja waje
[emoji13]Duh! bado bikra
Ukiona ivo ujue mambo bado mabayaIla sijui kwanini hawaletagi mrejesho 🙂)
Ni mti gani huo?Mwambie atafute mti wa mnyonyo akiupata basi nipm nitakuelekezeni huko uliko. Hapo ni dawa tu hamna namns
Unauhitaji.Nipm wanautumia kutafuna na karanga mbichiNi mti gani huo?
Duh we noma sasa hao si ndo watazidisha pepoNamshauri Aende Kwa Askofu Gwajima amuombee, Naamini atakuwa sawa