Sijui tumejiandaaje na hizi Hujuma ambazo zilitugharimu sana Misimu Miwili iliyopita japo tulionya mapema ila tukapuuzwa na Wapuuzi

Sijui tumejiandaaje na hizi Hujuma ambazo zilitugharimu sana Misimu Miwili iliyopita japo tulionya mapema ila tukapuuzwa na Wapuuzi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Kwa Makusudi Wachezaji wetu Mahiri hasa wa Kigeni Kuchezewa Rafu mbaya katika Mechi Tatu za mwanzo za Ligi
2. Maadui kwenda Bunju huku wakiwa wamevaa Jezi zetu na baada ya Mazoezi wanakusanya Nyasi na Mchanga wa Uwanja kisha kwenda Kuwafunga Kiushirikina Wachezaji wetu
3. Mtu Mmoja katika Benchi la Ufundi, Mjumbe Mmoja na Kiongozi Mmoja kuwa katika Payroll yao kisha mara kwa mara wanatoa Siri zile Muhimu za Kambi na Wachezaji wetu

GENTAMYCINE naomba ile Miiko yote ya yule Mzee Wetu aliyekufa Uwanjani tukicheza na Waangola ifuatwe Msimu huu.
 
Back
Top Bottom