The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Afadhali ya jamaa,wewe unaempiga mkeo jeWewe mwenyewe inaonekana mchumba tu kama Jiwee umewapiga mateja unakuja kujisifu...hapa.
Moja ya vitu nimenyimwa mm ni uwezo wa kupigana.Honestly kupigana siwezi.Uwezo wa kuoigana uko chin sana.
Nakumbuka nikiwaga form two nika join training za karate ila siku 2 tu nikakimbia kwenye introduction course za kwanza kabisaaa.So nika give up.Nimebak kutumia diplomacy zaid kwenye kutatua migogoro
Nakumbuka mwaka majuz nikiwa maeneo ya rangi 3 mbagala, nikawaona wahun wawil wanamuibia sistaduu flan saly queen kaweka kibeg chake flan mgongoni na hajagundua nn kinaendea.Roho ikaniuma nikawaza namsaidiaje mana kuna wengina kama mm pia waliliona lile tukio ila kima mtu akaendelea na 50 zake.
Nikapata courage ya kumsogelea yule sista toka kwa nyuma then nikamshika mkono like tuko pamoja hiv .Sasa kwakua nimetoka kwa nyuma jamaa waliniona na wakajua nimewaona hivyo wakakimbia.Yule sistaa akiwa ananishangaa nikamuachia na kumuambia funga begi hilo walikua wanakuibia then nikachukua 50 zangu.
Akaishiwa poz mpaka akashindwa kunishukuru
Sasa unataka nimpige mama akoAfadhali ya jamaa,wewe unaempiga mkeo je
Mm pia nilikua napenda sana ila tatizo uwezo.Unaanzisha Vagi halaf kikinuka unapigwa ww mleta shida.
Sasa unataka nimpige mama ako
wanaume wa dar si huwa mnaangalia tuuWewe mwenyewe inaonekana mchumba tu kama Jiwee umewapiga mateja unakuja kujisifu...hapa.
labda ww ndio unaota
huwenda ni ww nini umejuaje kama ni matej??Inasikitisha sana ninapo sikia mwanaume anajisifia kuwapiga mateja
Sent using Jamii Forums mobile app
☕☕☕☕😌😌😌😌Chai.....
Ugomvi unauwezea kwa mkeo tu, kwingine wewe ni phala tu
Mkuu endelea, baada ya kuchukua namba ikawaje?Moja ya vitu nimenyimwa mm ni uwezo wa kupigana.Honestly kupigana siwezi.Uwezo wa kuoigana uko chin sana.
Nakumbuka nikiwaga form two nika join training za karate ila siku 2 tu nikakimbia kwenye introduction course za kwanza kabisaaa.So nika give up.Nimebak kutumia diplomacy zaid kwenye kutatua migogoro
Nakumbuka mwaka majuz nikiwa maeneo ya rangi 3 mbagala, nikawaona wahun wawil wanamuibia sistaduu flan saly queen kaweka kibeg chake flan mgongoni na hajagundua nn kinaendea.Roho ikaniuma nikawaza namsaidiaje mana kuna wengina kama mm pia waliliona lile tukio ila kima mtu akaendelea na 50 zake.
Nikapata courage ya kumsogelea yule sista toka kwa nyuma then nikamshika mkono like tuko pamoja hiv .Sasa kwakua nimetoka kwa nyuma jamaa waliniona na wakajua nimewaona hivyo wakakimbia.Yule sistaa akiwa ananishangaa nikamuachia na kumuambia funga begi hilo walikua wanakuibia then nikachukua 50 zangu.
Akaishiwa poz mpaka akashindwa kunishukuru
Mm pia nilikua napenda sana ila tatizo uwezo.Unaanzisha Vagi halaf kikinuka unapigwa ww mleta shida.
Ndio nikataka nijifunze karate napo nikashindwa.Aah baai nikaona basi hiki sio kipaji acha niachane nacho tu