The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Jana katika pitapita zangu nikakutana na msela kataitishwa na vibaka wawili huku wakimpiga kwa panga (bapa) wakimlazimisha awape hela.
Aisee mimi sio mwanaume wa Dar niliingilia kumuokoa jamaa niliwatembezea kichapo wale vibaka yaani utadhani bruce lee, cha ajabu zaidi na yule aliyekuwa anakabwa nilimtandika kofi moja la hatari sana kwani na yeye alianza kunipiga akidhani na mimi ni miongoni mwa wale vibaka. Hao vibaka baada ya kichapo kikali walikimbia na kusema tutalipiza broo.
Ila nawasihii wasifanye hivyo maana nitawatembezea kichapo cha mbwa koko. Wanaume kuweni wajasiri tusiwe kama wanaume wa Dar mtu anakabwa mwanaume unaangalia