Sijui ujasiri huu niliupata wapi!

Sijui ujasiri huu niliupata wapi!

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Jana katika pitapita zangu nikakutana na msela kataitishwa na vibaka wawili huku wakimpiga kwa panga (bapa) wakimlazimisha awape hela.

Aisee mimi sio mwanaume wa Dar niliingilia kumuokoa jamaa niliwatembezea kichapo wale vibaka yaani utadhani bruce lee, cha ajabu zaidi na yule aliyekuwa anakabwa nilimtandika kofi moja la hatari sana kwani na yeye alianza kunipiga akidhani na mimi ni miongoni mwa wale vibaka. Hao vibaka baada ya kichapo kikali walikimbia na kusema tutalipiza broo.

Ila nawasihii wasifanye hivyo maana nitawatembezea kichapo cha mbwa koko. Wanaume kuweni wajasiri tusiwe kama wanaume wa Dar mtu anakabwa mwanaume unaangalia
 
Moja ya vitu nimenyimwa mm ni uwezo wa kupigana.Honestly kupigana siwezi.Uwezo wa kuoigana uko chin sana.
Nakumbuka nikiwaga form two nika join training za karate ila siku 2 tu nikakimbia kwenye introduction course za kwanza kabisaaa.So nika give up.Nimebak kutumia diplomacy zaid kwenye kutatua migogoro

Nakumbuka mwaka majuz nikiwa maeneo ya rangi 3 mbagala, nikawaona wahun wawil wanamuibia sistaduu flan saly queen kaweka kibeg chake flan mgongoni na hajagundua nn kinaendea.Roho ikaniuma nikawaza namsaidiaje mana kuna wengina kama mm pia waliliona lile tukio ila kima mtu akaendelea na 50 zake.

Nikapata courage ya kumsogelea yule sista toka kwa nyuma then nikamshika mkono like tuko pamoja hiv .Sasa kwakua nimetoka kwa nyuma jamaa waliniona na wakajua nimewaona hivyo wakakimbia.Yule sistaa akiwa ananishangaa nikamuachia na kumuambia funga begi hilo walikua wanakuibia then nikachukua 50 zangu.
Akaishiwa poz mpaka akashindwa kunishukuru
 
Mi ugomvi napenda ila siku hizi naona kama nazidi kuwa mtu mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm pia nilikua napenda sana ila tatizo uwezo.Unaanzisha Vagi halaf kikinuka unapigwa ww mleta shida.
Ndio nikataka nijifunze karate napo nikashindwa.Aah baai nikaona basi hiki sio kipaji acha niachane nacho tu
 
Kwanini mnawadharau mama zenu hivi?

Kama sio mama yako wewe si ungekua umekufa huko chini ya ardhi unaliwa na mchwa

Mtu ambaye anamtukania mama wa mtu namuona mshenzi tu,

NB: tafuta kazi, na tafuta suluhisho la mwanao kujikojolea.
Sasa unataka nimpige mama ako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa Dar ni walaini laini hivi!
balozi_wa_insta_B813nNwFLXI.jpeg
 
Moja ya vitu nimenyimwa mm ni uwezo wa kupigana.Honestly kupigana siwezi.Uwezo wa kuoigana uko chin sana.
Nakumbuka nikiwaga form two nika join training za karate ila siku 2 tu nikakimbia kwenye introduction course za kwanza kabisaaa.So nika give up.Nimebak kutumia diplomacy zaid kwenye kutatua migogoro

Nakumbuka mwaka majuz nikiwa maeneo ya rangi 3 mbagala, nikawaona wahun wawil wanamuibia sistaduu flan saly queen kaweka kibeg chake flan mgongoni na hajagundua nn kinaendea.Roho ikaniuma nikawaza namsaidiaje mana kuna wengina kama mm pia waliliona lile tukio ila kima mtu akaendelea na 50 zake.

Nikapata courage ya kumsogelea yule sista toka kwa nyuma then nikamshika mkono like tuko pamoja hiv .Sasa kwakua nimetoka kwa nyuma jamaa waliniona na wakajua nimewaona hivyo wakakimbia.Yule sistaa akiwa ananishangaa nikamuachia na kumuambia funga begi hilo walikua wanakuibia then nikachukua 50 zangu.
Akaishiwa poz mpaka akashindwa kunishukuru
Mkuu endelea, baada ya kuchukua namba ikawaje?
 
Back
Top Bottom