Disruptor1
Senior Member
- Aug 9, 2022
- 139
- 388
Mwanangu SAM nitakukumbuka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life is a journeyWengine walisha tangulia mbele ya haki,
Wapo ambao wamekua walevi wakupindukia,
Wapo ambao wanapigania uhai wao kwa maradhi,
Wapo ambao wamekua matajiri au kua na vyeo vikubwa,
Wapo ambao wana watoto mpaka wajukuu,wapo ambao hawana uzazi,
Life is a journey.
Drug dealer ndoto zake zilikuwa kuwa PundaDah....hizi ni sad thread.
Wana wawili nikikaa nao dawati moja. Mmoja alikufa kwa amoeba boarding Tabora maiti ikaja dar.
Msichana mwengine alizidiwa boarding mkoani akafa. Maiti ikaja Dar.
Mwingine alikufa hapa hapa dar kwa HIV.
Mwingine malaria Tabata. Mwingine sickecell.
Anyways, wengine hawajafa ila ni mapusha, footballers, wezi, mwingine alifungwa maisha akatoka kwa msamaha kipindi cha Magu.
Ila katika wote kuna mmoja huyu simsahau na sijui yuko wapi. Yeye alikuwa anataka kuuza madawa tangu akiwa darasa la sita kama sikosei. Yaani story zake Uturuki mara South Africa na Pakistan. Sijui mbwa wa air port hanusi madawa yakiwa tumboni. Madawa ya kulevya yanalipa sana yaani duh.
Yule jamaa nilianza kupoteza urafiki naye taratibu niliona asijeakanishawishi sana. Kipindi kile dili ni kupokea mzigo South au kuufata Pakistan ndo ilikuwa mishe za mabraza waliofanikiwa mitaaniDrug dealer ndoto zake zilikuwa kuwa Punda
Atakuwa kwao ni SinzaYule jamaa nilianza kupoteza urafiki naye taratibu niliona asijeakanishawishi sana. Kipindi kile dili ni kupokea mzigo South au kuufata Pakistan ndo ilikuwa mishe za mabraza waliofanikiwa mitaani
Hahaaaaa...Atakuwa kwao ni Sinza
Hiyo ndio lifestyle ya mabraza sinza wanaishi maisha ya gharama gari kali, pamba kali na kafremu kakuzugia Sinza madukani kumbe behind the curtain ni mapundaHahaaaaa...
Dahh! Pole sana! Kwahiyo ukalazimika kusainishwa mikataba ya miaka miwili miwili kila darasa na kila mkoa? 😂Hapana mkuu ni ishu ya family separation
Ahahahha wana mambo ya ajabu...Dahh! Pole sana! Kwahiyo ukalazimika kusainishwa mikataba ya miaka miwili miwili kila darasa na kila mkoa? 😂