Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi

Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi

Dah....hizi ni sad thread.
Wana wawili nikikaa nao dawati moja. Mmoja alikufa kwa amoeba boarding Tabora maiti ikaja dar.
Msichana mwengine alizidiwa boarding mkoani akafa. Maiti ikaja Dar.
Mwingine alikufa hapa hapa dar kwa HIV.
Mwingine malaria Tabata. Mwingine sickecell.
Anyways, wengine hawajafa ila ni mapusha, footballers, wezi, mwingine alifungwa maisha akatoka kwa msamaha kipindi cha Magu.

Ila katika wote kuna mmoja huyu simsahau na sijui yuko wapi. Yeye alikuwa anataka kuuza madawa tangu akiwa darasa la sita kama sikosei. Yaani story zake Uturuki mara South Africa na Pakistan. Sijui mbwa wa air port hanusi madawa yakiwa tumboni. Madawa ya kulevya yanalipa sana yaani duh.
 
Drug dealer ndoto zake zilikuwa kuwa Punda
 
Kuna mmoja nilisoma nae primary enzi za Olympio ya late 80's nilikuja kutana nae ni mchungaji na ana waumini wengi mno.

kuwa kwake mchungaji sio ajabu bali chimbuko lake na kile alichoniambia baada ya hapo ndio kina maajabu. Jamaa anatokea familia ya kiislam hasa yani baba yake alikuwa na wadhifa kabisa katika jumuia ya masheikh ya Wangazija. Na alichoniambia kuwa ule uchungaji anafanya kama kazi tu imani na ibada zake zipo kwenye uislam.

Hili swala lilinifanya nisitishe maongezi nae hapo hapo. Kitendo cha kucheza na imani za watu sababu ya pesa tu sikukubaliana nacho. Mimi ni muislam lakini kamwe siwezi support ujinga kama huo kufanyiwa mtu wa imani nyingine.
 
Kipenzi changu Mary tukiwa darasa la 6 sijui uko wapi? Nitakukumbuka daima,nafasi yako bado ipo kwangu.
 
Dahh! Pole sana! Kwahiyo ukalazimika kusainishwa mikataba ya miaka miwili miwili kila darasa na kila mkoa? 😂
Ahahahha wana mambo ya ajabu...
Kuna kipindi nimeenda likizo. Nakuta nimeamishwa shule mazima.

Mkuu mimi hata majina ninayo mawili
Upande wa baba fundi manyumba

Ila upande wa mama fundi mageti
Yaani ni utata mtupu.
 
Sijawahi kuwa na marafiki shule ya msingi na sababu ni kwamba nilikuwa mtoro KUPINDUKIA (Nimeshindwa ku bold hilo neno)
 
Back
Top Bottom