Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano wale wa Iringa kuna vitu wana share na mara nyingi mmoja akiugua na mwingine pia hivyo ikitokea mmoja kafa maanake wote watakufa......ni hayo tu mkuuSalute,
Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana.
Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije?
Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza mikubwa sana.
Hivi katika wale walioungana mmoja akifa mwingine ataishije?
Au mmoja akifa watawazika kwa pamoja?
Mtihani mkubwa sana jamani huu.
Kwani kufa dada yangu ni jambo baya......au usipoliwaza haliwezi kutokea? We hujawahi kuwaza hata siku moja kuwa utakufa??Tuwaziane mazuri. Nao ni binadamu kama sie
Kwani kufa dada yangu ni jambo baya......au usipoliwaza haliwezi kutokea? We hujawahi kuwaza hata siku moja kuwa utakufa??
Halafu wewe mtoto mnafikiBora kujiwazia kuliko kuwawazia wengine
Kwani kuna ubaya gani kuwawazia wengine? Maana kufa ni sheria imewekwa ni MunguBora kujiwazia kuliko kuwawazia wengine
Kwani kuna ubaya gani kuwawazia wengine? Maana kufa ni sheria imewekwa ni Mungu
Kama unawaongelea hao vitu vingi sana vya ndani ya mwili wana share........jarib kuwatazama kwe tv siku moja utawaona mmoja akiwa anaongelea kitu fulani na mwingine unamuona anaongea kwa mfumo ule ule......hao wataenda siku moja mkuuNdo hao nawaongelea
Aise mungu mkubwa sanaKama unawaongelea hao vitu vingi sana vya ndani ya mwili wana share........jarib kuwatazama kwe tv siku moja utawaona mmoja akiwa anaongelea kitu fulani na mwingine unamuona anaongea kwa mfumo ule ule......hao wataenda siku moja mkuu