Sijui wale watoto walioungana watakufa pamoja?

Sijui wale watoto walioungana watakufa pamoja?

Mkuu Umewaza mbali sana. Mi niliwaza kipindi kile cha matokeo ya Form 6 kama mmoja wapo angefeli! Na mwingine kufaulu na kudahiliwa Chuo!
 
Mi nadhan lazima wafe wote kwa sababu magonjwa mengi hutokana na mifumo ya maji,hewa,damu nk. So akiugua mmoja ni wote..
Mimi kitu ambacho kinanipa wakati mgumu ni kuwa roho mbili tofauti
 
Mkuu Umewaza mbali sana. Mi niliwaza kipindi kile cha matokeo ya Form 6 kama mmoja wapo angefeli! Na mwingine kufaulu na kudahiliwa Chuo!
Sijui ingekuwaje
 
Inategemea wameunganaje, Kama Mioyo yao ndio illiyoungana au organ nyingine yoyote kubwa ya mwili Kama figo, ini n. k hapo watatangulia wote mbele ya haki wote, ila Kama vilivyoungana ni mguu, mkono, sikio ataondoka mmoja tu hapo, ila atakayebakia hatakaa muda mrefu kwa mwili wake kuhisi kupungukiwa na kitu Fulani kwa kuondokewa na Mwenzake
 
Back
Top Bottom