Sijui watafunga wangapi, ukimfunga huyu anakuja huyu, Namba ya wanaharakati inazidi kuongezeka

Sijui watafunga wangapi, ukimfunga huyu anakuja huyu, Namba ya wanaharakati inazidi kuongezeka

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
SIO kawaida mpaka huyu mkuu WA Wilaya Mstaafu nae haridhishwi na mambo yanavyoenda
Screenshot_20250605_115306_Gallery.jpg
 
ccm njia wanayotumia kutawala inawaharibia
wizi wa kura, kuteka, kuua mwisho wake mbaya
 
Vuguvugu, moshi, hatimae moto

hadi tulipofikia ndio basi tena, ccm hawawezi kutubu zaidi ya kuzidisha ubabe, maovu na chuki

dalili za machafuko, ghasia zinaonekana, kwa kifupi inatafutwa sababu na siku

tujiandae aman kupotea
 
Back
Top Bottom