Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Nakutakia usiku mnono nawe ulale vizuri
Usiku uwe mzuri kwako
Wanasema mapenzi "MUBASHARAA" au sio wajamen
Ma Sabrina I hope Angeles will keep you on sight and hold yo tight simply to make sure that you feel All Right !!.

Me am going to bed sasa,,, if you miss me ,, you just come natuzungumze ktk ziwa LA Ndoto zangu !!

See you tumolooo.
 
Mie mbona Niko gud sana ...basi tu KUNA mahali unaona kama nikero alafu imekithiri ,sema huwa sijui km nawaudhi .
Kweli_??
Ukiwa hivi positive mind utaweza hata pata mchumba kirahisi[emoji14] [emoji3]
 
hongera xana
Shukrani za dhati ziwafikie woooote walionitakia mema
Na Mimi napenda kuwatia moyo wale wote waliokata tamaa waliivunjika moyo.
Siku yao IPO.
Hata kama ulipata mpenzi mkafika mbali na ndoto hazikufika trust me.Wako yupo.
Hata miaka ipite mingapi yupo
Jenga imani Omba Mungu atakuletea.
Hata akitokea MTU akataka au akakunyanganya MTU wako atarudi tu kwa njia ya Muujiza Mana ni wako.
Kifupi kila MTU ana MTU wake mahali Fulani.Ni suala la muda na wakati sahihi ulliopangwa.
Hujachelewa wala kuwai.
Your lover is just hiding somewhere.
 
Hahahahaaaaa
Yani ma Sabrina hata Mimi aliniuaaa
But ana point Fulani.
Japo kufahamu anapoishi mwenza wako ni vizuri hata akiumwa.Au kupata shida yoyote unaenda bila shida
Kusaidia house chores
Maana ndo kazi za kike.
 
Back
Top Bottom