Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Leo unazungumza mambo mazuri sana.kumbe huwa mnajitoa ufahamu tuu.Jamani
Mimi kwa Experience yangu wanawake wengi wanapenda kuwa na MTU permanent..
Sasa anakuwa na huyu wanashindwana anaenda huku hivyo mwisho anakongoroka wanaume mnaanza kumuita Malaya
Wapo wachache hupenda hiyo kazi but mostly hali huwakutia njiani
Hivi ukipita usiku mathalani Ohio Street au Corner bar Ambiance yale sio maisha ni mateso mbu zaoo mvuaa .( Hapana ) nadhani wanakosa na uelewa wao mdogo wa kupenda vya mkato pia ni hatari sana kwao kuchukulia usiku ghafra na MTU hata hauhawai mzoea hata kwa simu( why??
O
Anyway ,, maishan lazima tujifunze kupenda nakumjali mtu bila kutegemea utalipwa nn...maumiv huanza pale mtu unajaliiiiiii uku moyon ukitegemea atakulipa sawa naulichomfanyia.
.ndo utaishia kutoa laana lkn wapi mwenzako anadunda.