Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

We nanihiii.... Umeona eee mi nikikuambia unipende hutaki, mala oooh mi mchawi, kwan si nimekuambia nitakupa uganga uniague, mala oooh nina kad ya uvccm, haya olewa na hashimu lungwe sasa.
Haaaa haaaa sijaelewaa kitu. Hivi Hashim Rungwe bado eeh?
 
Umethibitisha kauli yangu humu ya siku nyingi kwamba humu watu wanaweza kabisa kupendana tena penzi zito kabisa. Hongera zenu na kila la heri kwenye penzi lenu. Si dhambi wala aibu na hakuna ubaya wowote kukutana mtandaoni na kupendana kwa dhati.

Kwa Heshima ya kipekee na ndani ya moyo wangu.
Kwa Mara nyingine Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF.

Kwangu Mimi imenitendea mambo mengi kupitia watu wake.

Mbali na kufahamiana na watu wengi ambao tumejenga undugu na ujamaa wa kufa na kupona

Pia JF imeniwezesha kukutana na my Soul mate.

Haikuwa kazi rahisi but nitakuwa mchoyo wa Fadhira nisiposhukuru Wote waliopata wazo la kuanzisha Love connect.( Mkombozi wa mioyo iliyovunjika)

Kwani kupitia JF imenifanya kurudisha furaha yangu iliyopotea.

Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa siamini watu kujenga uhusiano na ukadumu kwa njia ya mitandao.Lakini Mimi nashuhudia kwamba Inawezekana na tena mkaishi vizuri.

Nilichojifunza ni uvumilivu na kuwa na moyo wa subira
Majaribu yapo lakini ukiamini na kumuomba Mungu hata humu inawezekana ( I have met my eclipse of my heart)

Niliwai kuwa na mchumba wa kukutana uraiani alinitenda mabaya sana pamoja na kumvumilia mengi.

Zikiwa zimebaki siku chache aje kutoa posa kwetu, bila kujua nini hufanya..niliamua kumsuprise ...badala ya kumsuprise Surprise ilinikuta Mimi baada ya kumkuta amelala kitandani na mwanamke kwenye shuka nililofua Mimi Jana yake na wakala chakula nilichopika na baada ya kuchunguza haikuwa Mara 1.
Ilinivunja moyo na kunikatisha tamaa sana.( Wadada huwa tunaumia sana hasa muda unaopotea)

Sasa JF kukutanishwa na MTU huyu ambaye amenisahaulisha machungu mengi mengi.
Nina kila sababu ya kushukuru kwani na Mimi nimejiona wa Thamani.
Ewe mdada au mama uliyeumizwa usikate tamaa.Popote waweza pata mwenza na kufungua Ukurasa mpya.
Hakuna aliyezaliwa asononeke.
Fight, search, simamia unaloliamini MTU asikukatish
e tamaa Better late than Never
 
Haaa haaaa itabidi umtafute akupikie utest chakula chake
Aaahhhh tatizo keshaweka wazi *anakua kupika kidogo* yeye ni *kavivu*.

Sasa bahat mbaya napenda kula chakula kitamuuu yaaan mboga zikiungwa zinaungwa kweliiiiii ,mtoto anakaa jikon kuanzia saaa 12mpaka saa mbili mnakula !.

Mwenzako hawezi ,,,anakuambia kufua hawezi ,kupika hawezi ,,kudek hawezi ,,..nahisi Amefuga KuCHa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuhhh tengua kauli kidogo "mdogo Wangu* itengue .

Wanawake wajanja wajanja niwabaya sana, kwanza mkizenguana ndo SIKU iyo nyumba nzima itajua....
Alafu ujanja na kua mpole nivitu viwili tofauti ..au Mimi ndo sijui kiswahili ???/

Kinyume cha mjanja ni mpole eeehhhh????? asante TIE.
Mdogo kweli
Hivi siku ya kwanza unajuaje huyu mjanja mjanja( kumbuka wapo mabingwa wa kupretend
 
Aaahhhh basi sawa ndo nmekuelewa sasa.

Una prefer aina gan ya mapenzi ???? Ya kufurahishana au Yale yakupendana kweli ???au litakalokuwepo poa ????.
Kuhusu kupendana hua kunakuja automatic bila nguvu ,mnaweza furahishana mkashangaa tu mmkazama dubwii,, mtu akinichukulia vyovyote naenda nae hivyo hivyo
 
Aaahhhh tatizo keshaweka wazi *anakua kupika kidogo* yeye ni *kavivu*.

Sasa bahat mbaya napenda kula chakula kitamuuu yaaan mboga zikiungwa zinaungwa kweliiiiii ,mtoto anakaa jikon kuanzia saaa 12mpaka saa mbili mnakula !.

Mwenzako hawezi ,,,anakuambia kufua hawezi ,kupika hawezi ,,kudek hawezi ,,..nahisi Amefuga KuCHa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haahhahaha
Unapenda kula nini?
 
Kuhusu kupendana hua kunakuja automatic bila nguvu ,mnaweza furahishana mkashangaa tu mmkazama dubwii,, mtu akinichukulia vyovyote naenda nae hivyo hivyo
Aaahhhh basi iyo ndo sababu yakwann now days mahusiano hayalast km zaman ...nisababu ndogo sanaaa,, watu hawajui wanachokitafuta ktk mahusiano.

Utasikia ,vyovyote atakavyotaka NAMM na kua ivoivo....yaaan upon ktk MAHUSIANO namwanamme haeleweki still umekaa tu ???? .duuh.
 
Watu tushachoka kuwaweka watu mioyoni mwishoni unaumizwa tu,,
 
Aaahhhh basi sawa ndo nmekuelewa sasa.

Una prefer aina gan ya mapenzi ???? Ya kufurahishana au Yale yakupendana kweli ???au litakalokuwepo poa ????.
Jamani
Mimi kwa Experience yangu wanawake wengi wanapenda kuwa na MTU permanent..
Sasa anakuwa na huyu wanashindwana anaenda huku hivyo mwisho anakongoroka wanaume mnaanza kumuita Malaya
Wapo wachache hupenda hiyo kazi but mostly hali huwakutia njiani
Hivi ukipita usiku mathalani Ohio Street au Corner bar Ambiance yale sio maisha ni mateso mbu zaoo mvuaa .( Hapana ) nadhani wanakosa na uelewa wao mdogo wa kupenda vya mkato pia ni hatari sana kwao kuchukulia usiku ghafra na MTU hata hauhawai mzoea hata kwa simu( why??
 
Watu tushachoka kuwaweka watu mioyoni mwishoni unaumizwa tu,,
Bana ,,embu acha kua naiman iyo...haimanishi maumiv alokupa mtu ,,hamna mtu anayeweza kuja kuyaponya ...

Ukiwa naiman iyo ,,atakuja mwanamme mwenye mapenzi naww ,,ilasababu unaiman mbaya ,,utamtreat vibaya ,,ataona hufai ,ataondoka.

Nikushauri ....UNAPOPENDA PENDA MTU KAM VILE HUJAWAHI KUTENDWA UKO NYUMA....
 
Sawa.,nimekuelewa
 
Back
Top Bottom