Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahhhh sawa ,,, ila uhisi km Hautakua salama nahauna ulinzi ???.Bora tu maswala ya kupelekana nyumbani ndio mwanzo wa kuanza kupika,,sijui kudeki ,,bora hotelin tuachane huko huko
Inategemea ukoje na huyo mtu wako. Ikiwa ni wachumba mlio na malengo huwa inafikia mahali pa kujuliana makazi na hata nyumba.Bora tu maswala ya kupelekana nyumbani ndio mwanzo wa kuanza kupika,,sijui kudeki ,,bora hotelin tuachane huko huko
Kabisa yani siku zote najuaga we mwanaume yaani ulivyoandika kutolewa posa Heee nikashtuka na jina Hilo unalotumiaMmmmh..
Real?
Why
Najua,,lakin sio nipelekwe nikawe mfanyakazi[emoji23][emoji23]Aaahhhh sawa ,,, ila uhisi km Hautakua salama nahauna ulinzi ???.
Mwanamme akikupeleka kwake
Nakwao ,,basi ujue anakutakia mema.
Umenishtua sanaNishukuru nami pia maana niliwabeba kwa taxi angu siku mmetoka onana mara ya kwz...
Sasa kwa mtu kama Mimi ninayependa kula mapishi ya mwanamke ,ndo kwamba hatuendani ????? Au kupika ndo hujui ???.Najua,,lakin sio nipelekwe nikawe mfanyakazi[emoji23][emoji23]
HahahahaUmenishtua sana
Unaweza ukawa unatania but ukawa umepatia
Nakumbuka first Day namuona ni baada ya kwenda Jk international Airport akitokea nje masomoni ( PHD)
Na ni kweli tulichukua Tax .
Au ulikuwa unasikiliza story
Kweli uchumba halafu kila MTU hajui kwa mwenzakeInategemea ukoje na huyo mtu wako. Ikiwa ni wachumba mlio na malengo huwa inafikia mahali pa kujuliana makazi na hata nyumba.
Ila kama ni hii ya kukubaliana kumegana bila kuwa na plans basi unaweza kukwepa hayo na mkakutana popote.
Najua kiasi chake sio sana,,kukupikia,kukufulia mpaka nikupende tu na unanipenda niko huru kwako ,,lakin mapenzi haya ya kufurahishana tu hapana ,,Sasa kwa mtu kama Mimi ninayependa kula mapishi ya mwanamke ,ndo kwamba hatuendani ????? Au kupika ndo hujui ???.
Duuhhh tengua kauli kidogo "mdogo Wangu* itengue .Hatari sana
Sasa mjanja mjanja ndo mzuri
Hao wapole wa kupretend hao sio
Ukiwajua utanambia mdogo wangu Putin
Mi ni kavivu ,,kumfanyia mtu hayo nae awe ananifanyia vitu vya kunifurahisha moyo sana ,,hivi hivi tu hapanaInategemea ukoje na huyo mtu wako. Ikiwa ni wachumba mlio na malengo huwa inafikia mahali pa kujuliana makazi na hata nyumba.
Ila kama ni hii ya kukubaliana kumegana bila kuwa na plans basi unaweza kukwepa hayo na mkakutana popote.
Aaahhhh basi sawa ndo nmekuelewa sasa.Najua kiasi chake sio sana,,kukupikia,kukufulia mpaka nikupende tu na unanipenda niko huru kwako ,,lakin mapenzi haya ya kufurahishana tu hapana ,,