Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake.

Mchengerwa ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Shinyanga wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo.

"Kuna watu wanafanya kazi kwa moyo wao wote na wanatimiza majukumu yao ipasavyo kwa weledi wa hali ya juu hawa nitawalinda na kuwakumbatia na kuhakikisha wanapata stahiki zao zote wanazostahili kwa wakati lakini wale wazembe na wabadhirifu nitawatoa kwenye nafasi zao mara moja,"amesema.

Amewahimiza kufanya kazi kwa weledi na kuisaidia serikali ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yake.

"Katika utendaji wetu mshikamano baina ya chama na serikali ni muhimu sana hivyo lazima tufanye kazi za serikali vizuri ili chama kiendelee kuwa madarakani,
kwa sababu chama kikiendelea kubaki madarakani na wewe ndio unaendelea kushika nafasi yako,"amesema.

Wakati huo huo, Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari nne kwa Halmashauri za mkoa huo kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya.

&&&&
 
Huyu ndio Waziri sasa!
Haonei mtu zaidi ya kutaka matokeo chanya.
Nimemfahamu toka akiwa utumishi.
 
Tatizo ni hilo kusema chama? Mbona mcchengerwa kafanya kazi nzur sana toka psrs,michezo na utamadun,mnrt mpaka hapo pmo ralg au shida yako nin ? Tamisem ndio injin ya serikal kuhudumia wananchi moja kwa moja ndio dude kuuuuubwa kweli kweli.tena ilitakiw muwe na ilan kila unapoenda mana wenye ilan yao ndio wanaiangalia acha unafiki
 
Back
Top Bottom