Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Dont force itWiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...
Naomba ushauri niende au nikaushe
Tunaelekea unampenda sana,usikaushe utajiumiza moyo,fanya jitihada asivunje agano!Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...
Naomba ushauri niende au nikaushe
NAKAZIAKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Unakoelekea utajiua au kufanya mauaji na kuishia jela mbwa weweWiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...
Naomba ushauri niende au nikaushe
No reform no erection!KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Short and clear😂Ina tv ndani?
Mkuu nikuulize ni kweli maagano Yanaweza kutoa matokeo?? Kama yatavunjwaTunaelekea unampenda sana,usikaushe utajiumiza moyo,fanya jitihada asivunje agano!
Nina miaka 24Unaumri gani...🤔
Ebu kwanza jibu hilo swali, maana nisije nikajikuta napoteza muda wangu bure.
Bikra wa kiume huyo, acha waitoe hiyo bikra akili itamkaa sawaUnaumri gani...🤔
Ebu kwanza jibu hilo swali, maana nisije nikajikuta napoteza muda wangu bure.
Ujumbe mzuriMtoto wa watu ameamua yaishe kila mtu aendelee na hamsini ila wewe bado unakaza fuvu kwenda ukweni sijui kwa mama kuomba msamaha.
Hakika huo ni ujinga wa kiwango cha juu sana
Basi sawa kijana, nenda tu alafu kifochako ndio kitawatenganishaNina miaka 24