Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

Nina miaka 24
Khaaa miaka 24 unamganda mtu hzo akili mnazpata wapi? Et kisa agano la Damu hyo Damu uliyoichezea kwann usingeenda ata hospital ukaichangia Kisha tukakushukuru kwa kuokoa maisha ya watu wengne?
 
Nikusanue...

Duu wako na mama yake lao moja. Mwenzako ana madanga yake huko kila.akienda akipiga mshindo anampa na mama yake we unazani mama anaweza kukusikiliza..

Kingine duu wako mzri sana hvo anajiona ana option nyingi sana za kuchagua lakini ana kasoro moja tuu ambayo inafanya aone wewe kama una msaliti kisa hiyo kasoro mkuu

Skia mdogo angu mapenzi ni kuvumiliana we ishi na mwenzako na kasoro yake hvo hvo hata wewe una mapungufu mkuu
 
Naelewa Hilo ila ndio hataki Sasa nifanyeje
 
Kuyaweka sawa last week nimeenda kwao hata mlango hataki kufungua hata nikituma sms hajibu..
Naofia sana Yale maagano mkuu sema Chochote
Skia usiogope kuhusu maagano maana hata mimi nishawahi weka maagano ya damu na fala mmoja hivi..

Yule mbwa sasa hv ana mtoto na yupo na jamaa ake hakuna chochote kimetokea kwangu na life inaendelea..

Kingine je wewe bado unampenda maaja naona kama umependa vibaya dogo
 
Mwanangu nimependa Vibaya ukweli,
Binti nimemkuta Bikra akiwa mwaka wa tatu chuoni..

Amenisaport sana financially kipindi sina tena nikiwa kapuku
Nimesex nae chini bro sina hata shuka yeye ndio alinipa shuka tena alitoa kwao.

Leo angalau Nina direction anakuja kuniacha..mbaya Zaidi ameshapigwa kwao kisa yuko na Mimi Zaidi ya mara 3 kisa Mimi.

Kwao nimepeleka barua mkuu posa pia. Sasa sijui sijitambui au Niko sawa
 
Mwanangu nimependa Vibaya ukweli,
Binti nimemkuta Bikra akiwa mwaka wa tatu chuoni..

Amenisaport sana financially kipindi sina tena nikiwa kapuku
Nimesex nae chini bro sina hata shuka yeye ndio alinipa shuka tena alitoa kwao.

Leo angalau Nina direction anakuja kuniacha..mbaya Zaidi ameshapigwa kwao kisa yuko na Mimi Zaidi ya mara 3.

Kwao nimepeleka barua mkuu posa pia. Sasa sijui sijitambui au Niko sawa
Yeye kwa sasa msimamo wake upo vipi..
Nimejikuta nakuonea huruma sana aiseee mbona hatareee hyo daaah....

Skia ebu fanya hvi unasema ajibu sms..?
Kwao wapi an alipo sasa ...?
Kama kijana upo tayar kuongozana na kijana mwenzako tukatatue tatizo..?
 
Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..

Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.

Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...

Naomba ushauri niende au nikaushe
Naona kichefuchefu kama dunia ya sasa bado kuna wanaume marofa kama wewe? Mwanamme unambembeleza mwanamke! Mxiuuuuhh!!!
 
Yeye kwa sasa msimamo wake upo vipi..
Nimejikuta nakuonea huruma sana aiseee mbona hatareee hyo daaah....

Skia ebu fanya hvi unasema ajibu sms..?
Kwao wapi an alipo sasa ...?
Kama kijana upo tayar kuongozana na kijana mwenzako tukatatue tatizo..?
Msimamo wake hanitaki kwasababu sina hela maana hata mahali imenishinda.

Ila hela unatafuta nimedesign future yangu vizuri tu after 5 ntakuwa mbaya Nina active long term goals.

Jana nimeenda kwao hapa hapa dar ila sikufunguliwa mlango...simu zote Hadi ya mama yake hataki kujibu

Kifupi alinipenda bila sababu imagine nimemtoa bikra chini bro.. hakujali ILO ila ameniacha mwanangu
 
Ili ibambe vilivyo nenda kwa magoti

machozi usisahau
 
Back
Top Bottom