Yanatoa ndio,kwa tunasoma maandiko ipo hivi:Adamu alliingia maagani na Mungu asile mtu wa katikati,yeye akatafuna matunda kibabe,ilikuwa kwamba akila Hakika atakufa,hakuna hapo hapo,kifo kilianzia kwa mwanae Habili,akipondwa na kaka yake kaini!Muhimu kutimiza agano ni sawa na nadhiri.Mkuu nikuulize ni kweli maagano Yanaweza kutoa matokeo?? Kama yatavunjwa
Unaumri gani...🤔
Ebu kwanza jibu hilo swali, maana nisije nikajikuta napoteza muda wangu bure.
Umri sio kigezo Cha kushindwa kufikiri vyema, huyu ni mpumbafu tu.Nina miaka 24
Kwaiyo mkuu natakiwa kufanya Nini ?? Ili madhara yasimpate?Yanatoa ndio,kwa tunasoma maandiko ipo hivi:Adamu alliingia maagani na Mungu asile mtu wa katikati,yeye akatafuna matunda kibabe,ilikuwa kwamba akila Hakika atakufa,hakuna hapo hapo,kifo kilianzia kwa mwanae Habili,akipondwa na kaka yake kaini!Muhimu kutimiza agano ni sawa na nadhiri.
Ushindo gwakeKatika dunia hii usipojitambua na kuijua thamani yako hakuna rangi utaacha kuona.
Muoe huyo binti kwa kulazimisha halafu baada ya miezi mitatu tu uje utuletee mrejesho hapa. Unalazimisha kumuoa mtu ambaye hakutaki? Jingaaaa! 🚮
View attachment 3339635
Mimi ni bwege 😂Umri sio kigezo Cha kushindwa kufikiri vyema, huyu ni mpumbafu tu.
Yaani 24 yrs ana lilia mwanamke kudadadeki, eti hawezi kuishi bila yeye 😆😂.
Shimba ya Buyenze, Eyce tuna zikia wapi?
Bro!!! nakushauri tu, kama mwanamke wako hakutaki 'ACHANA NAE",,,mapenzi bila furaha ni "KARAHA"Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...
Naomba ushauri niende au nikaushe
Kijana kaishalogwa huyu...😜Umri sio kigezo Cha kushindwa kufikiri vyema, huyu ni mpumbafu tu.
Yaani 24 yrs ana lilia mwanamke kudadadeki, eti hawezi kuishi bila yeye 😆😂.
Shimba ya Buyenze, Eyce tuna zikia wapi?
Nasikia binti huwa haogi😂😆Kijana kaishalogwa huyu...😜
Bilashaka binti alimnywesha chai iliyo chujwa na chup...🤣
Ushauri mzuriBro!!! nakushauri tu, kama mwanamke wako hakutaki 'ACHANA NAE",,,mapenzi bila furaha ni "KARAHA"
mwambie mwanangu!!Unakoelekea utajiua au kufanya mauaji na kuishia jela mbwa wewe
Kwa umri huo, wengi huwa wanasumbuka; kichwa kidogo kinakuwa na nguvu kubwa kuliko kichwa kikubwa, jitahidi uushinde huo mtihani.Nina miaka 24