sikia hii mume na mke wali.......... ungekua wewe je??

KILITIME

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Posts
265
Reaction score
18
sikia hii!! mume na mke waligombana wakiwa safarini ndani ya gari yao. ugomvi ulipo zidi mume akapandwa na hasira akasema :wanawake wote ni mbwa tu!!: Mke akanyamaza wakati wakiendelea na safari akaona mbwa jike akirandaranda kando ya barabaraakasema :mama yako yulee anarandaranda simama tumpe lifti: Je ungekua ni wewe ingekuwaje??????:israel::crazy:
 
najiuliza bila majibu
 
nasimamisha gari,afu najifanya naenda kumbeba huyo mbwa kumpa lift,lazima azirai :smiling::shut-mouth:
 
Ningemsusha mke chini nikampakia MBWA.........

usisahau wote ni mbwa lol,kama wote wana thamani katika maisha yako lazima uwape nafasi equally.....lol unawapandisha wote in this matter lol:madgrin:
 
nasimamisha gari,afu najifanya naenda kumbeba huyo mbwa kumpa lift,lazima azirai :smiling::shut-mouth:


Duh....! ila kuna mijibwa inatishaaa hata kuisogelea issue!!!!

 
huyo mwanaume nayeye atakua ni mbwa(puppy)si alizaliwa na mbwa jike?anafanyaga tendo la utamu na mbwa?shame on men who call their wives such names.
 
...nitamwambia..."am sori bebi, iti wozi jasti slipu ovu the tang'i"
 
usisahau wote ni mbwa lol,kama wote wana thamani katika maisha yako lazima uwape nafasi equally.....lol unawapandisha wote in this matter lol:madgrin:


ukweli utakua mtihanai maana aliyemo ktk gari ni mke na aliyeko chini ni mbwa halisi duuuuuuuuh bora kupita mazima utafute mwingine ili umwembie sasa huyu tena ni mamkwe anakwenda wapi???
 
Yaani hapa mnanizingua tu, kuna mmoja kaniudhi mbaya jioni hii kaniharibia siku mazima amesema mambwa? Sisemi chochote nakaa hapa namsikiliza huyo akiendelea kurudia na mbwa, mm nasikiliza tu huku stress inashuka. Mama yake mbwa kwa baba yake kwake ni mama, mama yake ni mama kwake sio mwanamke.
 
Ila mie nawadharau sana watu wanaotukana wenza wao. Very sad aisee. Hivi mbwa anaweza kuoa ama kuolewa na binadamu?
 
Hapo nafika alipo mbwa nashuka ila wakati naenda kumnyanyua mama watoto lazima atacheka thu akiwa na mawazo nitakuwa sina akili timamu..
Afu mambo yanaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…