sikia hii mume na mke wali.......... ungekua wewe je??

sikia hii mume na mke wali.......... ungekua wewe je??

mtoto wa mbwa ni mbwa! na mume wa mbwa ni mbwa so ngoma droo(wote wangekuwa mijibwa)
 
Hapo nafika alipo mbwa nashuka ila wakati naenda kumnyanyua mama watoto lazima atacheka thu akiwa na mawazo nitakuwa sina akili timamu..
Afu mambo yanaisha.[/QUOTE]

Duh hii tena ngumu kumesa ndugu yangu kumsogelea mbwa usiyemjua itakua ngumu sanaaaaaa!:target:
 
Mostly kauli na majibu ya kiivo hua ni ya mimtu milevi !
Aidha alisahau kama na yeye ni husband wa dogi ! Na dada zake ni mawifi wa dogi !
 
Judgement au mnatuona kama chombo cha kutumia na baada ya matumizi unakitupilia hukoooo!!!

Hata wadada pia waweza sana kutufanya sisi Makarai.
Ingekua tuko mjengoni kwa lugha za kiDodoma ningesema issue Mtambuka!
 
Last edited by a moderator:
Angeomba msamaha kwa mkewe tuu yakaisha sababu huwezi kumuita mwenzio mbwa..

promiseme!
hata mimi nakubaliana na wazo lako na kimsingi ugomvi bora uishe maana mwisho wake inaweza kuwa noma!
 
Muungwana akivukwa nguo, hasimani bali huchutama!


kipipi nawewe??? teeheeeeeheee sasa hapa unamaanisha nini?? na je muungwana ni yupi kati ya hawa mbwa au mtoto wa mbwa ambaye pia n mume w mbwa??:becky::becky::fencing:
 
sikia hii!! mume na mke waligombana wakiwa safarini ndani ya gari yao. ugomvi ulipo zidi mume akapandwa na hasira akasema :wanawake wote ni mbwa tu!!: Mke akanyamaza wakati wakiendelea na safari akaona mbwa jike akirandaranda kando ya barabaraakasema :mama yako yulee anarandaranda simama tumpe lifti: Je ungekua ni wewe ingekuwaje??????:israel::crazy:

Na bado ningemurushia hii kwenye Email iwe Kumbukumbu yake.
image.jpg
 
Back
Top Bottom