jozee jose
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 147
- 360
Naamini imekuwa ni shangwe kwa watumishi husika kwa ongezeko la mshahara kwa 35% ambayo ni kutoka 370 000 hadi 500 000 ambayo ni sawa na 130 000,
Kitanzania hii pesa inaweza kuwa kubwa kulingana na mahitaji yetu ya kila siku ambayo ni ya lazima(pia hutegemeana na mtu), Lakini pia inaweza kuwa ni ndogo kwa mahitaji ya muhimu kwa mfano mtu utahitaji usafiri, miradi ya biashara na isiyohamishika kana mashamba nyumba n.k.
Ninachotaka kusema ni hichi kwa hawa wapendwa wetu watumishi husika na kichwa tajwa hapo juu
Watambue ya kwamba
1.Jamii imejua hili na tunatofautiana katika kulipokea hasa ndugu wataongeza kasi ya utegemezi ambapo linaweza kuchochea umasikini badala ya ustawi.
2. Kuna kamsemo kana sema "the more you earn the you spend" Chunga sana kuongeza matumizi eti kwa sababu kipato kimeongezeka, utarudi kwenye mduara ulele wa awali
3.Kwa hiyo pesa inaweza kufungua mianya ya kufanya biashara zingine hata kama sio kwa kusave kwa kila mwezi unaweza chukua mkopo mwepesiiii hata 1.3m ukaanzisha uwakala wa mitandao ya simu.
4.Ndio muda sahihi wa kukaa mbali na michepuko maana hata nayo imepata taarifa hizi, Hivyo imejiandaa kuongeza kasi za mashambulizi .
5.kama ni mtu wa bia nyama😃😃 ongezeko hili la mshahara linaweza likawa hatari kwako kwa afya ya maendeleo kiuchumi,yaani muda huu kuna mtu kwenye kichwa chake ameongeza ratio za bia kutoka 6 hadi 11.
Kwa hayo machache naamini wadau watachangia pia.
Naomba kuwasilisha