Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niongee na Uongozi wa Yanga,Benchi la ufundi La Simba ndio wapange kikosi Cha Yanga.
Mikia mnahangaika sana, kuliko kumbeba Simba bora Azam atufunge tu, wa boti waendelee kupanda Boti tu Na wa ndege waendelee kupanda ndege.
Hii kali ya mwaka. Yanga sasa inapangiwa timu ya kucheza na mropokaji wa mikia. Pia wanataka ishinde kwa lazima. Kwa nini wao hawakushinda mechi zao zote ili wachukue ubingwa.
Ama kweli kiwewe huondoa uwezo wa kufikiri.
Sipo huko mkuu, ila sipendi tabia yake ya kuropoka ropoka hovyo, atumie busara wakat wa kutoa habar zake.
Hii kali ya mwaka. Yanga sasa inapangiwa timu ya kucheza na mropokaji wa mikia. Pia wanataka ishinde kwa lazima. Kwa nini wao hawakushinda mechi zao zote ili wachukue ubingwa.
Ama kweli kiwewe huondoa uwezo wa kufikiri.
Nyani haoni kundule! Kati ya Manara na Polisi mstaafu( Jerry Muro) nani mropokaji?