Sikia kauli hii ya msemaji wa Simba

Sikia kauli hii ya msemaji wa Simba

Hii kali ya mwaka. Yanga sasa inapangiwa timu ya kucheza na mropokaji wa mikia. Pia wanataka ishinde kwa lazima. Kwa nini wao hawakushinda mechi zao zote ili wachukue ubingwa.

Ama kweli kiwewe huondoa uwezo wa kufikiri.
 
Ngoja niongee na Uongozi wa Yanga,Benchi la ufundi La Simba ndio wapange kikosi Cha Yanga.

Mikia mnahangaika sana, kuliko kumbeba Simba bora Azam atufunge tu, wa boti waendelee kupanda Boti tu Na wa ndege waendelee kupanda ndege.


Kweli kabisa mkuu. Wa mbili havai moja. Wa boti atakuwa wa boti tu na wa ndege atakuwa wa ndege tu ikiwemo ile ya serikali JMT
 
Mikia bhana leo hii Yanga wanajua mpira ila walipowafunga walikua hawajui na walikuwa wanasema Yanga kachukua ubingwa kwa kubahatisha tu, halafu unawezaje kuhakikisha Yanga lazima amfunge Azzam wakati wewe mwenyewe mechi kibao umefungwa hadi na mbeya city ungeshinda zile leo hii ungetafuta wabaya
 
Ni bora kusikiliza taarabu kuliko kumsikiliza msemaji huyu wa Simba, yaani uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana, yeye huongea kila linalomjia mdomo bila kufikiria
 
Hahahaah,,,,,huu utani hakuna ukweli katika hii kauli.
 
Hii kali ya mwaka. Yanga sasa inapangiwa timu ya kucheza na mropokaji wa mikia. Pia wanataka ishinde kwa lazima. Kwa nini wao hawakushinda mechi zao zote ili wachukue ubingwa.

Ama kweli kiwewe huondoa uwezo wa kufikiri.

Na akae ajue kwa Taarifa yake leo hadi barthez hatumchezeshi Mzee Akilimali atakaimu langoni.

Hiyo mikia inaweweseka wao kina nani hadi watupangie kikosi
 
Sipo huko mkuu, ila sipendi tabia yake ya kuropoka ropoka hovyo, atumie busara wakat wa kutoa habar zake.

Haji Manara na Jerry Muro wote ni mediocres kwenye hizo nafasi walizopewa kama wasemaji wa zinazojiita "klabu kubwa" kama Simba na Yanga.

Utoaji wao wa taarifa unazifaa timu kama Ashanti au Abajalo.....
 
Hahahahahah huyo ni mropokaji wa simba et ana2pangia kikos,hatuna majeruh ila hatuwapangi kwan wachezaj wengne wana mguu mmoja mmoja
 
He,simba wanachukua video ya mechi?ili iweje sasa,huyu naye jumapili manara in shiida kweli anaenda FIFA tena kisa yanga kufungwa na azam?mbona Bayern wamefungwa kwao na hakuna kelele
 
Hii kali ya mwaka. Yanga sasa inapangiwa timu ya kucheza na mropokaji wa mikia. Pia wanataka ishinde kwa lazima. Kwa nini wao hawakushinda mechi zao zote ili wachukue ubingwa.

Ama kweli kiwewe huondoa uwezo wa kufikiri.

Nyani haoni kundule! Kati ya Manara na Polisi mstaafu( Jerry Muro) nani mropokaji?
 
Kwanza, sina uhakika kama kweli hiyo kauli ilitolewa na msemaji wa Simba. Lakini kama ni kweli hata mimi mshabiki wa Simba nasema siiungi mkono. Simba si ya kuomba huruma hivyo kwani imepata pointi nne kati ya sita kutoka kwa vilabu vyote vya juu; Yanga, Azam, Mtibwa, wote hao walitoa sare wakafungwa mchezo wa marudiano. Simba ni nzuri, msimu ujao wakizichapa timu ndogo watamaliza juu kabisa.
 
kweli dini ya kiislam ilisema bangi mbaya siku ukiache ni baada ya miaka arobaini ndio inaisha kichwani sasa haji analalamika nini akili za kimanyema
 
Back
Top Bottom