Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume gani anayemdanganya shilole kiasi hiki,....
Afanye kolabo na J LO...!!!!?!!@:!!
Ni kweli mkuu.. Nimekumbuka wale jamaa waliowakilisha nchi kwenye olimpiki yani siku nasikia stori zao kama komedi yani mara bondia aliumwa tumbo hakupanda ulingoni mara mwanariadha ana vidonda miguuni hakukimbia ukiulizia walichaguana kishkaji ukute mtu anamuuliza Rafiki yake yule mdogo ako atakuwa anajua kukimbia nae aende ili mradi tuu wabanie hela na walipane fadhila tuuYaani hii bongo yetu kila kitu ni dili na ujanja ujanja, utakuta timu inajiandaa na mashindano nje ya nchi, wanahojiwa siku chache kabla ya kwenda unawasikia wanavyolalamikia maandalizi duni, sasa cha kushangaza safari ipo pale pale na wasindikizaji wa kumwaga. wanarudi mikono mitupu na ole wenu muwaite watalii...wanakunja ngumi...sio riadha, sio volley ball,sio football.........walah tuna laana.
mwanaume gani anayemdanganya shilole kiasi hiki,....
Afanye kolabo na J LO...!!!!?!!@:!!
Mtu alikuwa mama ntilie anauza ubwabwa pale gereji mahakama ya ndizi unategemea akili zake ziweje?
Lkn kajitahidi hata kama kauza mama ntilie, unaambiwa usiombe uzuri omba bahati! Sinta na MA yake njaa kali tu anapigwa .p.u.m.b.u. na lemutuz tu, zisije zikawa zile MA fekerooo
Swala sio kupigwa hiyo sijui nini uliyoweka dot dot...swala ni upeo na mantiki ya vitu anavyo ongea
Wote wanaongea pumba tu uoni sinta pumba anazoongea kwenye blog yake? Yaani sometimes uwa naona kama wote awajasoma tu! Ingawa sinta ana claim kasoma zaidi ya shilole..!
Haya tumsifu yesu kristo