Sikia Shilole na Sinta wanalumbana katika Take one

Sikia Shilole na Sinta wanalumbana katika Take one

Wasanii wetu wana master's in arts za kukata viuno.
 
Mie naona Sinta ndio mjinga zaidi, kazaliwa mjini + mastaz analumbana na wakuja aliyeenda Marekani?
 
mwanaume gani anayemdanganya shilole kiasi hiki,....
Afanye kolabo na J LO...!!!!?!!@:!!
 
Yaani hii bongo yetu kila kitu ni dili na ujanja ujanja, utakuta timu inajiandaa na mashindano nje ya nchi, wanahojiwa siku chache kabla ya kwenda unawasikia wanavyolalamikia maandalizi duni, sasa cha kushangaza safari ipo pale pale na wasindikizaji wa kumwaga. wanarudi mikono mitupu na ole wenu muwaite watalii...wanakunja ngumi...sio riadha, sio volley ball,sio football.........walah tuna laana.
Ni kweli mkuu.. Nimekumbuka wale jamaa waliowakilisha nchi kwenye olimpiki yani siku nasikia stori zao kama komedi yani mara bondia aliumwa tumbo hakupanda ulingoni mara mwanariadha ana vidonda miguuni hakukimbia ukiulizia walichaguana kishkaji ukute mtu anamuuliza Rafiki yake yule mdogo ako atakuwa anajua kukimbia nae aende ili mradi tuu wabanie hela na walipane fadhila tuu
 
mwanaume gani anayemdanganya shilole kiasi hiki,....
Afanye kolabo na J LO...!!!!?!!@:!!

Mtu alikuwa mama ntilie anauza ubwabwa pale gereji mahakama ya ndizi unategemea akili zake ziweje?
 
Mtu alikuwa mama ntilie anauza ubwabwa pale gereji mahakama ya ndizi unategemea akili zake ziweje?

Lkn kajitahidi hata kama kauza mama ntilie, unaambiwa usiombe uzuri omba bahati! Sinta na MA yake njaa kali tu anapigwa .p.u.m.b.u. na lemutuz tu, zisije zikawa zile MA fekerooo
 
Lkn kajitahidi hata kama kauza mama ntilie, unaambiwa usiombe uzuri omba bahati! Sinta na MA yake njaa kali tu anapigwa .p.u.m.b.u. na lemutuz tu, zisije zikawa zile MA fekerooo

Swala sio kupigwa hiyo sijui nini uliyoweka dot dot...swala ni upeo na mantiki ya vitu anavyo ongea
 
Swala sio kupigwa hiyo sijui nini uliyoweka dot dot...swala ni upeo na mantiki ya vitu anavyo ongea

Wote wanaongea pumba tu uoni sinta pumba anazoongea kwenye blog yake? Yaani sometimes uwa naona kama wote awajasoma tu! Ingawa sinta ana claim kasoma zaidi ya shilole..!
 
Wote wanaongea pumba tu uoni sinta pumba anazoongea kwenye blog yake? Yaani sometimes uwa naona kama wote awajasoma tu! Ingawa sinta ana claim kasoma zaidi ya shilole..!

Haya tumsifu yesu kristo
 
Watanzania huwa hatuna tabia ya kupenda vya kwetu. Kwani kuna ajab gani shilole kufanya kazi na Jenifer Lopez? Sinta anatafuta kick, zake zimeisha asimkatishe tamaa mwenzake. Watanzania tusupport vya kwetu kwanza.
 
Mweeeeeeeee ndoto zngne tuache kucnzia pemben ya moto jmn...... Ww shh shh kubwa co Toto tena wazia kulea wanao bac co mambo ya abunuac BANA ..........
 
Hao wote MAnaKUMAtt tu....
Eti kaweza kwenda marekani ashindwe kukutana na JLo....
Kwenda maekani si mchezo...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom