Sikia ya Mtei na mwl. Nyerere waliposhindwana... Kweli Mwalimu alikua Hashauriki!

Sikia ya Mtei na mwl. Nyerere waliposhindwana... Kweli Mwalimu alikua Hashauriki!

Tumekuwa chini ya rwanda kimaendeleo, hata wakorea waliokuwa sawa na sisi sasa wako mbali sana. Kuna viongozi wanafikiri wakichapisha pesa zaidi (print more money to cover deficit) bado wanaweza kudhibiti thamani ya pesa yao, kama Idi Amini. Haiba yao huwa ni hasira wanapoambiwa ukweli na kususia vikao. Mwasho uongozi huwashinda na uchumi kuporomoka vibaya.
then nyerere was right...........but his mistake was just how to fine tune his policy with the world music
 
I believe we have made important progress since then, but with some obstacles. I mean, Babu alikuwa kiongozi mzuri sana (Managed to built a COHESIVE SOCIETY). Lakini his economic policies were ineffective. Kudhani kwamba unaweza ku-build a welfare state without taxation nadhani ilikuwa tondo za mchana. Leo hii tunaona hata wale tuliokuwa tunawaiga (Russia former U.S.S.R, China na Cuba)wamejoin the Free Market Economy. Marehemu hakuwa tayari kuivunja ile kauili yake ya Kutorudi/ Kugeuka nyuma ili asigeuke gunia la chumvi.
Are you sure that, during Nyerere regime there were no taxation schemes
 
Ungekuwa wewe ndo Nyerere ungefanya nini? Kwa miaka ile siyo leo lakini.
 
Sokoine hakuwahi kujiuzulu kwa sababu ya kutofautiana na Nyerere. Kama kuna mtu aliyekuwa karibu kikazi na Nyerere alikuwa ni Sokoine. Alijiuzulu kwa ajili ya matibabu na pia fursa ya kujiendeleza kielimu. That is a fact. Lete jingine.

Unajua au una kauelewa maana ya neno "fact "???!!!
 
Ungekuwa wewe ndo Nyerere ungefanya nini? Kwa miaka ile siyo leo lakini.

Unaweza kutetea ccm kwa vigezo vya kisasa, ila kwa nyerere wanaoweza kumtetea labda ni wachina na wakorea,sisi wote ni victims wa tawala zilizopita, nyerere angekuwepo tungemhoji kuhusu tuhuma hizi!! Ila huu ni wakati mwingine, tusifungwe na historia/sheria.
 
Nyerere alifanya yake kwa wakati wake hatulaumu na hatuwezi kumuiga kwa kila kitu na si lazima tufuatilie au kuenzi kila alichokianzisha
Wakati wake umepita na sasa ni wakati wetu nasi tufanye yetu yanayotufaa kwa wakati wetu tulio nao
Aliyoyacha nyerere yanayofaa kwa wakati huu twaweza kuyachukua lakini si kila jambo alilofanya nyerere linafaa kwa wakati uliopo
 
Back
Top Bottom