Sikia ya Mtei na mwl. Nyerere waliposhindwana... Kweli Mwalimu alikua Hashauriki!

then nyerere was right...........but his mistake was just how to fine tune his policy with the world music
 
Are you sure that, during Nyerere regime there were no taxation schemes
 
Ungekuwa wewe ndo Nyerere ungefanya nini? Kwa miaka ile siyo leo lakini.
 
Sokoine hakuwahi kujiuzulu kwa sababu ya kutofautiana na Nyerere. Kama kuna mtu aliyekuwa karibu kikazi na Nyerere alikuwa ni Sokoine. Alijiuzulu kwa ajili ya matibabu na pia fursa ya kujiendeleza kielimu. That is a fact. Lete jingine.

Unajua au una kauelewa maana ya neno "fact "???!!!
 
Ungekuwa wewe ndo Nyerere ungefanya nini? Kwa miaka ile siyo leo lakini.

Unaweza kutetea ccm kwa vigezo vya kisasa, ila kwa nyerere wanaoweza kumtetea labda ni wachina na wakorea,sisi wote ni victims wa tawala zilizopita, nyerere angekuwepo tungemhoji kuhusu tuhuma hizi!! Ila huu ni wakati mwingine, tusifungwe na historia/sheria.
 
Nyerere alifanya yake kwa wakati wake hatulaumu na hatuwezi kumuiga kwa kila kitu na si lazima tufuatilie au kuenzi kila alichokianzisha
Wakati wake umepita na sasa ni wakati wetu nasi tufanye yetu yanayotufaa kwa wakati wetu tulio nao
Aliyoyacha nyerere yanayofaa kwa wakati huu twaweza kuyachukua lakini si kila jambo alilofanya nyerere linafaa kwa wakati uliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…