Sikiliza barua ya Vitali Maembe na Siasa za Tanzania

Huyu yupo vizuri na sio mlamba viatu, ni wa siku nyingi kama alivyoanza kughani kwenye hiyo barua yake ila hapewi promo kwasababu hafurahishi wakubwa. Ni almaarufu kwa wimbo wa sumu ya teja wa zamani kwenye 2000s
 
Huyu ndo mtu sasa, yule Mpoto nadhani anakadi ya kijani ndio maana yupo juu sana.
 
Huyu yupo vizuri na sio mlamba viatu, ni wa siku nyingi kama alivyoanza kughani kwenye hiyo barua yake ila hapewi promo kwasababu hafurahishi wakubwa. Ni almaarufu kwa wimbo wa sumu ya teja wa zamani kwenye 2000s
Na KUDU
 
Back
Top Bottom