R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Jul 15, 2026 #1 Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka Attachments VID-20260715-WA0001.mp4 22.9 MB
Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 9,818 Reaction score 14,585 Jul 15, 2026 #2 Retired said: Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka Click to expand... Wewe ndiyo unatia kinyaa. Kwani huko kwenu ulikozaliwa mnayo Stendi kama hiyo?? Acha mtu atumie uhuru wake wa kujieleza, it costs nothing
Retired said: Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka Click to expand... Wewe ndiyo unatia kinyaa. Kwani huko kwenu ulikozaliwa mnayo Stendi kama hiyo?? Acha mtu atumie uhuru wake wa kujieleza, it costs nothing
M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 8,825 Reaction score 20,941 Jul 15, 2026 #3 Retired said: Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka Click to expand... -Pesa za Samia? If that's the case: -Madeni yote ni ya Samia -Mauaji ya kimbari ya 29th-Oct-2025 ni ya Samia. -Kikosi cha kigaidi cha wasiojulikana ni cha Samia. -Abayebambikia watu kesi ni Samia. -Aliyezika watu kwenye makaburi ya halaiki ni Samia.
Retired said: Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka Click to expand... -Pesa za Samia? If that's the case: -Madeni yote ni ya Samia -Mauaji ya kimbari ya 29th-Oct-2025 ni ya Samia. -Kikosi cha kigaidi cha wasiojulikana ni cha Samia. -Abayebambikia watu kesi ni Samia. -Aliyezika watu kwenye makaburi ya halaiki ni Samia.
Mnandi Jr Member Joined May 30, 2026 Posts 78 Reaction score 119 Jul 15, 2026 #4 Uhuru wa kujieleza tanzania niwakuipamba serekali tu, ole wako uzungumzie changamoto za wananchi na ufisadi wa baadhi ya viongozi, huna bahati!.
Uhuru wa kujieleza tanzania niwakuipamba serekali tu, ole wako uzungumzie changamoto za wananchi na ufisadi wa baadhi ya viongozi, huna bahati!.