Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Hiyo NB, ndo ya kuzingatia usisikize wanaokukatisha tamaa
 
 
Mkuu kazi nzuri ila mixing nzuri huanza na choice ya ngoma nzuri pia transitions ziwe makini. Yani mahadhi ya ngoma yaendane sio nyimbo ya BPM 130 unaichomeka kwenye nyimbo ya BPM 150. It will sound wack.

Mi ni mpenzi wa sweet reggae ila naona ile mix haijakaa vizuri sana. Nakupa list ya tracks jaribu kuzimix halafu utaniambia.
 
Poa poa mkuu fanya hivo
 
Wakuu naomba.naombeni msaada wa kunitajia kila msanii wa bongoflava unayemkumbuka kichwani miaka hiyo..nyimbo aliyotoka nayo..yaani iliyomtambulish kimuziki...nataka nifanye yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…