Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Unazituma wapi mkuu, ungekua unaenda na mtiririko wa mpya zinakua za mwisho kwenye list
Bado sijaweka.naziupload kwanza kwenye server then nitaleta link humu...zinaenda slow sana.leo natumia airtel
 
TUNAENDELEA NA MSIMU WA 3
nasmiletz11.jpg

Zile slowjams












 
Mtumie jamaa hata ya vocha mkuu,maneno mengi hayasaidii sana.
Wanufaika tuko wengi sana, nalushangaa hunaweka kikwazo cha kuto appreciate kazi yake,ni kwakuwa umekosa hata mbs za kuzipakua basi roho inakuhuma sana, wewe unahisi nawasiliana nae hapa tu, sifanyi vitu kwa kuwafurahisha watu nafanya kwa interest zangu, pia acha shobo sana we mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom