dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
- #421
Refreshmind rnb & slow mixcrate 1
Naiweka
Naiweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juu kule sio [emoji4][emoji4][emoji4]Bedtime slowjams mixtape ipo pia
Sijaiona mkuuBedtime slowjams mixtape ipo pia
Unazituma wapi mkuu, ungekua unaenda na mtiririko wa mpya zinakua za mwisho kwenye listPainskiller mix vol 2 and vol 3 inadondoshwa hapa leo
Unaziweka au umeshaweka mkuuBedtime slowjams mixtape ipo pia
Sijui Mtandao upo slow au server zao..zinazingua hatari..zinaenda slow sanaUnaziweka au umeshaweka mkuu
Bado sijaweka.naziupload kwanza kwenye server then nitaleta link humu...zinaenda slow sana.leo natumia airtelUnazituma wapi mkuu, ungekua unaenda na mtiririko wa mpya zinakua za mwisho kwenye list
Poa nitazipakua hapaSijui Mtandao upo slow au server zao..zinazingua hatari..zinaenda slow sana
Zipo asilimia 30 eti dah!!Poa nitazipakua hapa
Kim Jong JrTUNAENDELEA
WALE WA GOSPAL
![]()
![]()
Ngoja niipakue nitakupa mrejesho, ubarikiwe sana, hamu ya kusikiliza kama zote,
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
This is on fire [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91], you are awesome mkuuTUNAENDELEA NA MSIMU WA 3
Zile slowjams
![]()
![]()
Hivi unajua ya bedroom sikuwahi isikiliza niliona niisikilize leo ndiyo nikajua nilikurupuka kutoicheza ni hizo songs ni za moto mno, tena nyimbo nyingi ni za 2000-2011 upo vyema
Mtumie jamaa hata ya vocha mkuu,maneno mengi hayasaidii sana.Ngoja niipakue nitakupa mrejesho, ubarikiwe sana, hamu ya kusikiliza kama zote,
Wanufaika tuko wengi sana, nalushangaa hunaweka kikwazo cha kuto appreciate kazi yake,ni kwakuwa umekosa hata mbs za kuzipakua basi roho inakuhuma sana, wewe unahisi nawasiliana nae hapa tu, sifanyi vitu kwa kuwafurahisha watu nafanya kwa interest zangu, pia acha shobo sana we mtoto wa kiumeMtumie jamaa hata ya vocha mkuu,maneno mengi hayasaidii sana.