Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Kuna watu wanazingua humu.....ngoja niweke mambo sawa..iko hivi

kama unahitaji spesho mixing(yaani zile nyimbo unazozihitaji ..ni utagharamia tsh 3000 kwa mix ya chini ya masaa 2....)

Lakini mixing zingine ambazo nazifanya mwenyewe hapa(kwa idea yangu) nitakuwa nazitoa bureeee

Asante
By

dvj nasmiletz
Deejay nasmile
0627474141
 
Daah, Whats love ya Haddaway ndio ulikuwa wimbo wa kwanza niliucheza Nightclub na Exparts wa kizungu (Waingereza)nikiwa chalii mdogo huko Arusha, Crystal club miaka ya 90.

Pamoja na ''I have been thinking about you'' wa London beats
Nme download hii ni nzuri ila una mix vitu tofauti soul yaani Ivon Chaka Chacka na Usher Raymond wapi na wapi
 
Nme download hii ni nzuri ila una mix vitu tofauti soul yaani Ivon Chaka Chacka na Usher Raymond wapi na wapi
unajua nini mkuu...hizi sometimes nazimix nikiwa club....alafu utakuta ni siku ya wateja kuomba nyimbo....so sina budi kupiga hayo tunaitaga "MAEMBE"

ila kwa upande mwingine ni kama nafanya branding kwamba nazijua style tofauti tofauti...ndio maana nikasema kwa yule anayetaka official mix nafanya kwa order ..lakin hizi ninazoziweka hapa jukwaan ni kama promo...
Thanx mkuu
 
So flashback za kina Haddaway, London beats pekee vipi?

Hizi za kina Yvone chakachaka, Paty Shange na wengine ziweke kwny kundi la South African beats za 1990's
 
Painkiller mixtape vol 4,5 itakujia soon hapa

Pia rhumba Congolese vs tanzanian rhumba mixtape vol 3

Anapiano vol 2,3,4 leo usiku zitakuwepo hapa

Root reggae

Slow jams mix voln1

Best of madilu system

Best of koffi olomide

Best of christian bella

Oldschool hiphop of alltime vol 1 ipo tayari(big,da brat,coolio.fat joe.nas.snoop,nature by nature)

Ukijisikia kuchangia bando sio mbaya 0627474141
 
Huu mzigo wote inabidi niupandishe hapa jamvin....

Screenshot_20220209-021934.jpg
 
Back
Top Bottom