Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity.

Mwanamke anaingia kwenye soko la mahusiano around miaka 15 hivi akiwa na thamani kubwa, hiki ni kipindi ambacho mwanamke anakua kwenye kilele chake cha ubora wa mwili na urembo.

Hapa ego yake inakua juu, ndizo nyakati anakua na vigezo vingi anavyovitaka kutoka kwa mwanaume, in most cases vigezo hivi huwa vinakua unrealistic.

Wakati mwanamke huyu age mate wako anamtafuta uyo fantasy man aliemchora kwenye fikra zake(tall, handsome, rich, cared, good in bed, six park, God fearing, romantic, muelewa, mtanashati, msomi n.k) na miaka nayo inaenda.

Thamani yake itadumu mpaka late 20s, akifika 30s ubora wake kuanzia urembo na mwili mfano ufanisi wa kushika mimba unaingia kwenye declining stage. Hapa thamani ya mwanamke imepolomoka.

Hali inakua mbaya zaidi stage hii ikimkuta akiwa single mother, hiki ndicho kipindi atahitaji mwanaume yoyote ambae anapumua tu. Time is very cruel to women.

Thamani ya mwanaume inaangaliwa kwa uwezo wake wa kifedha hii ndio maana mwanaume anaingia kwenye soko la mahusiano akiwa hana thamani kwa sababu katika kipindi hicho around miaka 16 bado ni mwanafunzi, jobless na asiye na uwezo wa kumgharamia mwanamke.

Ukiwa katika hii hatua kubaliana na ukweli kwamba wakati wako wa kufanya fujo bado haujafika. Ukilazimisha kwenda sambamba na standards za yule mwanamke age mate wako iyo ni movement ya hatari sana kwa afya yako ya akili na mustakabali wa uchumi wako.

Kumbuka huyu age mate wako tayari anayo thamani sokoni ni suala la kukutana tu na mwanaume wa kuwekeza kwenye thamani yake. Kama akikutana na uyo mwekezaji basi nusu saa tu inatosha kuyabadilisha maisha yake (na kama alikua demu wako atakuacha bila kujiuliza hata mara moja),
lakini wewe hauna thamani ndio upo kwenye mchakato wa kuitengeneza, maintain your focus.

Nielewe vizuri hapa, simaanishi uwe simp, uogope wanawake au uwe womanizer. If you got a girlfriend then treat her right not nice. Love her but not with your money on the line.

Katika kipindi hichi focus yako iwe kwenye kujiongezea thamani kwa kuanzisha miradi ya kibiashara, kujifunza ujuzi mpya, kujiongeza kimasomo n.k. In most cases hustles za mwanaume zinaanza kujibu akiwa 30s.

Kumbuka hapo kwenye 30s ambapo mwanaume unakua kwenye kilele chako cha ubora yule age mate wako unakutana nae yeye akiwa kwenye declining stage ya ubora wake, na hapa ndipo wanaume wengi wanatapeliwa.

Sasa kosa kubwa wanalolifanya wanaume hapa ni kukulupuka baada ya kupewa presha za kuoa na jamii matokeo yake anaoa yule age mate wake ambae ashachoka na katika peak yake alimfungia vioo. Biashara ya kitapeli hii.

During her peak she was determined and ruthless to reject you, she didn't settle for less. How comes you pity her in your peak?. She spent her peak years partying and sex with multiple men in the name of having fun and stay away from you by far, because she thought you can't sponser her lifestyle.

Now she hit the time wall and realize age is catching up she can't attract attention like before, then she pretend to be a wife material, she decorates her traumas and countless bodycount with a title of a mature woman and wait for an innocent nice guy to save her. Don't be that dump fool to fall for that trap.

Ukifika kwenye peak yako usikimbilie kuoa au ukiamua kuoa angalao usiwe retirement plan ya malaya mstaafu. Kwenye peak yako hiki ni kipindi cha kupanga mipango yako na kufurahia hustle zako. Wekeza, talii maeneo unayapenda, tengeneza connections na networks na watu wa maana, wajali wazazi wako n.k

Wale age mates wako wanaojileta hili wapate kipande cha keki ya mafanikio yako watumie kwa starehe tu. Mwanamke ambae sikushauri kabisa kuachana nae(kama tayari unae) ni yule ambae alikua loyal, submisive na productive kwako katika safari yako yote ya kuitengeneza thamani yako.

Sasa, ukisha enjoy vya kutosha sasa unaona kuna haja ya kutulia na mwanamke mmoja then go for a young, fresh and innocent woman. Fair play.
 
Kosa kubwa linalofanywa na vijana wengi ni pale wanapojipata wanataka kuwaprove wanawake agemate wao kwamba sasa wako vizuri na kutaka kuruka nao viwanja na kuwaoa

Kinachotakiwa kama umejipata kwenye 30s fanya maisha na young and feminine girl under 25

The game is brutal but still fair
 
Mwanamke ambae sikushauri kabisa kuachana nae(kama tayari unae) ni yule ambae alikua loyal, submisive na productive kwako katika safari yako yote ya kuitengeneza thamani yako.

1.NAKAZIA HAPO ,YULE AMBAYE UMEANZA NAYE UKIWA HUNA KITU AKAKUVUMILIA KATIKA DHIKI.
2.Endapo utamuacha mwanamke aliyekuvumilia ukiwa huna kitu baada ya kufanikiwa,akalia machozi,unawezapata laana/balaa,
au hao huyo utakaye mpata utakayekutana naye wakati tayari una mafanikio inawezekana akawa amevutiwa zaidi na mafanikio yako uliyoyakwishayapata kwa mchango wa mwanamke wako wa mwanzo,
pengine huyo wa pili asingekuwa tayari kukukubali kipindi kile cha mwanzo ukiwa unajitafuta ukiwa huna hayo mafanikio uliyonayo,aliyokukuta nayo .
 
Back
Top Bottom