Sikiliza kisha nipe ushauri nini cha kufanya ili kuweza kuboresha kazi zangu

Sikiliza kisha nipe ushauri nini cha kufanya ili kuweza kuboresha kazi zangu

Umuzukuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2019
Posts
617
Reaction score
552
Habari za siku wana JamiiForums,

Nipende kuwajulia hali na kwa wale wenye changamoto za kiafya poleni sana na bila shaka mtapoa na kupona pia

Moja kwa moja kwenye lengo kuu. Tafadhali sana Utakapofungua na kusikliza tafadhali usisite kutoa
Maoni, Ushauri, Dukuduku.

Na bidii nyinginezo nazotakiwa kufanya ili kuweza kuboresha kazi zangu katika safari hii ambayo nimeianza
Siku njema kwako na kwa uwapendao.

View attachment 2575730
 
Back
Top Bottom