Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Well saidKumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa
Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6 mlizokutana (ngao ya jamii 2, ligi kuu 3 na semi final fa cup 1) basi Yanga asingekua unbeaten kwa karibu mechi 50 hapa nyumbani sasa hivi.
Makolo acheni kuzisakama timu zingine kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie kwenye mashindano yoyote mtakayokutana vinginevyo mnazidi kuthibitisha ukweli wa ile kauli ya Rage
Makundi tupewe yoyote tu tunapigaUtopo jiandaeni kwa makundi hbr za unbeaten hazitawasaidia huko..
Hawa Mikia FC Makolo FC ni mbwiga sana.Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa
Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6 mlizokutana (ngao ya jamii 2, ligi kuu 3 na semi final fa cup 1) basi Yanga asingekua unbeaten kwa karibu mechi 50 hapa nyumbani sasa hivi.
Makolo acheni kuzisakama timu zingine kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie kwenye mashindano yoyote mtakayokutana vinginevyo mnazidi kuthibitisha ukweli wa ile kauli ya Rage
ππ Naona mtani kibao kimegeuka! Mashabiki wenzako wamekutelekeza baada ya Wananchi kupata ushindi ambao hamkuutarajia kabisa kule Tunisia!Pambeni na hali zenu acheni kutwa kucha kuitaja Simba. Na mtafurushwa kwenye hatua za awali tuuu sio kwa midomo hii
Watarudi tuu wanawapa space mpumueππ Naona mtani kibao kimegeuka! Mashabiki wenzako wamekutelekeza baada ya Wananchi kupata ushindi ambao hamkuutarajia kabisa kule Tunisia!
Sasa umebakia peke yako. Ungekuwa ndiyo mimi! Aisee ningetimua tu mbio na mimi, kuelekea kusikojulikana.