Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa
Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6 mlizokutana (ngao ya jamii 2, ligi kuu 3 na semi final fa cup 1) basi Yanga asingekua unbeaten kwa karibu mechi 50 hapa nyumbani sasa hivi.
Makolo acheni kuzisakama timu zingine kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie kwenye mashindano yoyote mtakayokutana vinginevyo mnazidi kuthibitisha ukweli wa ile kauli ya Rage